Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Shemeji kibongo land we tajiri imagine unaishi jumba la 280millions??!! Wenzio tumepanga tandale kwa tumbo na bado tunatoka saa 9 usiku ili kumkwepa faza house kodi yake ya nyumba!!! Fanya mchezo nini?!!! 😂😂😂😂

We tajiri bhana sema Kiranga aje atujibu NYC anakaa nyumba ya dollar ngapi tu compare hapa tuone km anafikia utajiri wako 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
280 million mbona unanishusha?

Kibanda cha kupaki magari yangu kimezidi hapo.

Unanitazama kwa woga nini?

Siku nyingine ukinitag hakikisha kuna mambo ya muhimu.

Usinitag kwenye nyuzi zenu hizi za maneno ya shombo, umbea
na udaku wa watu waliokosa viza za kuja Marekani hata kutembea wanatupigia dua za kuku ambazo hazimpati mwewe.

Hakuna cha maana tutakachoongea.

Ukirudia tena nakuunga ignore list hapohapo, sitaki umbea.
 
😂😂😂😂 TUKANA UONE shemeji eti una nyege ya mgao wa Tanesco sababu unauza barafu biashara imesimama 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Huyo anawaza kodi inaelekea kuisha!,Mwambie tumsaidie kulipa kodi asije tupiwa virago akarudi Bongo!
 
Acha dharau utafanya nifanye mambo ya ajabu hapa mkuu[emoji1787][emoji23][emoji23].

We si unq dharau?!!Onyesha gari unaendea kubeba box then nikuoneshe machine zilizopaki kwa parking lot yangu iliyoko Buza[emoji23][emoji1787][emoji1787].
Iam sure unaendesha kigari cha kike,mwenzio niko kwa mama Samia nasukuma tough machinez za kiume[emoji1787][emoji23].
Onyesha kigari chako uone magari dherue zikuishe[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Kwanza ulipata mme ??

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Huyu dogo huenda ana rafiki Marekani kaja Tanzania na kutaka kumkopa hela kwa lengo la kutomlipa, kanyimwa na sasa amekasirika ameamua kumchafua rafikiye.

Sasa mkuu umetoka US na madolari unashindwa kuwapa masela wako hata dola 50 ,50? Mbona hata hapa wapo watu wanaroho nzuri tu wanatoa pesa kwa marafiki zao wasiojiweza? Mimi kama nina mpunga natoa tu yaani dolar 100 kumpa mtu siwezi kuumiza kichwa wakati naingiza(siyo mimi nazungumzia mtu wa US aliyekuja TZ) 35m per month huko US.
 
Kiranga ona hii akili sasa, kusikia unamiliki garage ambayo ni zaidi ya nyumba yake akili ya kitanzania imemtuma ni zile garage anazoona mitaani, trust me watanzania wana wadudu kichwani [emoji1787][emoji1787]

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Nimempeleka ignore list huyo zumbukuku naona hatuwezi kuelewana.

I haven't got the words for him, I might as well be writing in ancient Greek.

Na kwa wote wanaopenda kuni tag, please do not tag me into some bullshit thread like this one.
 
280 million mbona unanishusha?

Kibanda cha kupaki magari yangu kimezidi hapo.

Unanitazama kwa woga nini?

Siku nyingine ukinitag hakikisha kuna mambo ya muhimu.

Usinitag kwenye nyuzi zenu hizi za maneno ya shombo, umbea
na udaku wa watu waliokosa viza za kuja Marekani hata kutembea wanatupigia dua za kuku ambazo hazimpati mwewe.

Hakuna cha maana tutakachoongea.

Ukirudia tena nakuunga ignore list hapohapo, sitaki umbea.
Oyooooooooo!!! Tajiri kaongea sasa!!!
TUKANA UONE kumbe thamani ya nyumba yako ya madale ya 280millions Kiranga anahifadhia mbwa wake 😂😂😂😂

Una lolote la kuongezea tajiri??
Hapa leo tuna matajiri wawili
Kiranga vs TUKANA UONE
Mpambano mkareee kweri kweri wadau mna maoni yoyote??? 😂😂😂😂😂
 
Huyo Kiranga anachomiliki ni Mikweche ya kusasambua majararani!
 
Nimeamua kuacha kumjibu sababu he is a desperate , incoherent racketeer playing into ephemeral populism.

Premise ya mada yake ilisema wabongo wa US , CA na UK ni choka mbaya .

Nimempa takwimu ya remittance kahama kasema ni takwimu uchwara akageukia kwenye certificates, sasa mtu kama huyu unaona yuko sawasawa upstairs kweli?

Anasema watu hawarudi kwao anataka kila diaspora humu aonyeshe entry & exit stamps ?

Hakuna popote alipoweka evidence ya rate ya watu na umasikini wao , wala idadi ya watu wanaorudi wala kutoka na ajabu tu ni mtu analinganisha status ya kimaisha ya mtu wa US na TZ kwa kuendesha BWM ! absolutely pathetic

He is just a muttonhead wannabe .
Achana huyo lofa hiyo ndio mitanzania Ina dharau Kwa kuwa inamiliki mikweche ya kijapan ni kiwanja cha miguu kumi Kwa kumi Kigamboni au Namtumbo

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Straight to ignore list.

Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.

Next.
Tajiri usimu ignore muonyeshe utajiri wako ili atulie aache wenge bhana, ataona unamuogopa we mtu mzito bhana!!!
Matajiri hawa ignore mafukara ni unawadunga sindano za moto eeee tajiri hebu mtoe kwenye list umuonyeshe madon wa NYC mnavyoishi 😂😂😂😂
 
Acha dharau utafanya nifanye mambo ya ajabu hapa mkuu[emoji1787][emoji23][emoji23].

We si unq dharau?!!Onyesha gari unaendea kubeba box then nikuoneshe machine zilizopaki kwa parking lot yangu iliyoko Buza[emoji23][emoji1787][emoji1787].
Iam sure unaendesha kigari cha kike,mwenzio niko kwa mama Samia nasukuma tough machinez za kiume[emoji1787][emoji23].
Onyesha kigari chako uone magari dherue zikuishe[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Humu kila mtu tajiri[emoji23][emoji23]

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Tajiri usimu ignore muonyeshe utajiri wako ili atulie aache wenge bhana, ataona unamuogopa we mtu mzito bhana!!!
Matajiri hawa ignore mafukara ni unawadunga sindano za moto eeee tajiri hebu mtoe kwenye list umuonyeshe madon wa NYC mnavyoishi 😂😂😂😂
Unataka na wewe nikuunganishe huko ignore list?
 
Back
Top Bottom