TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
- Thread starter
- #361
Mkuu kwani kukumbusha ulipe Kodi ni Vibaya?Straight to ignore list.
Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
Next.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani kukumbusha ulipe Kodi ni Vibaya?Straight to ignore list.
Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
Next.
Ko kiranga zake kafanyia starehe?? 😂😂😂😂Kumiliki nyumba ni mipango tu,mimi sikutaka kufanyia starehe pesa niliyopata nikaamua nijenge nyumba ili niishi kwa raha na mustarehe!
280 million mbona unanishusha?Shemeji kibongo land we tajiri imagine unaishi jumba la 280millions??!! Wenzio tumepanga tandale kwa tumbo na bado tunatoka saa 9 usiku ili kumkwepa faza house kodi yake ya nyumba!!! Fanya mchezo nini?!!! 😂😂😂😂
We tajiri bhana sema Kiranga aje atujibu NYC anakaa nyumba ya dollar ngapi tu compare hapa tuone km anafikia utajiri wako 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
😂😂😂😂 Na waongo wapo??!ACHA UONGO
Huyo anawaza kodi inaelekea kuisha!,Mwambie tumsaidie kulipa kodi asije tupiwa virago akarudi Bongo!😂😂😂😂 TUKANA UONE shemeji eti una nyege ya mgao wa Tanesco sababu unauza barafu biashara imesimama 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Kwanza ulipata mme ??Acha dharau utafanya nifanye mambo ya ajabu hapa mkuu[emoji1787][emoji23][emoji23].
We si unq dharau?!!Onyesha gari unaendea kubeba box then nikuoneshe machine zilizopaki kwa parking lot yangu iliyoko Buza[emoji23][emoji1787][emoji1787].
Iam sure unaendesha kigari cha kike,mwenzio niko kwa mama Samia nasukuma tough machinez za kiume[emoji1787][emoji23].
Onyesha kigari chako uone magari dherue zikuishe[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Huyu dogo huenda ana rafiki Marekani kaja Tanzania na kutaka kumkopa hela kwa lengo la kutomlipa, kanyimwa na sasa amekasirika ameamua kumchafua rafikiye.
Nimempeleka ignore list huyo zumbukuku naona hatuwezi kuelewana.Kiranga ona hii akili sasa, kusikia unamiliki garage ambayo ni zaidi ya nyumba yake akili ya kitanzania imemtuma ni zile garage anazoona mitaani, trust me watanzania wana wadudu kichwani [emoji1787][emoji1787]
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Kiranga ana hasira sana kwasababu anamiliki gereji ya Mikweche(Migari mibovu)!Ko kiranga zake kafanyia starehe?? 😂😂😂😂
Nimekwambia Kodi ikiisha useme tukuchangie Mzee wa Mikweche!Nimempeleka ignore list huyo zumbukuku naona hatuwezi kuelewana.
I haven't got the words for him, I might as well be writing in ancient Greek.
Kivumbi leo 😄😂😂😂😂 we kweli??
Kumbe na ngoma zimo humu?? Nikajua UTI sugu tyuuu!!!
Haya dj mlete sisy Pridah atuambie dawa anaendelea kutumia au kaacha?!!!! 🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Oyooooooooo!!! Tajiri kaongea sasa!!!280 million mbona unanishusha?
Kibanda cha kupaki magari yangu kimezidi hapo.
Unanitazama kwa woga nini?
Siku nyingine ukinitag hakikisha kuna mambo ya muhimu.
Usinitag kwenye nyuzi zenu hizi za maneno ya shombo, umbea
na udaku wa watu waliokosa viza za kuja Marekani hata kutembea wanatupigia dua za kuku ambazo hazimpati mwewe.
Hakuna cha maana tutakachoongea.
Ukirudia tena nakuunga ignore list hapohapo, sitaki umbea.
Hatareeee had wagonjwa wa ngwengwe eti wapo 😂😂😂😂Kivumbi leo 😄
Na wewe nina koneksheni yako nimetumiwa pm jiandae 😄Hatareeee had wagonjwa wa ngwengwe eti wapo 😂😂😂😂
Huyo Kiranga anachomiliki ni Mikweche ya kusasambua majararani!Oyooooooooo!!! Tajiri kaongea sasa!!!
TUKANA UONE kumbe thamani ya nyumba yako ya madale ya 280millions Kiranga anahifadhia mbwa wake 😂😂😂😂
Una lolote la kuongezea tajiri??
Hapa leo tuna matajiri wawili
Kiranga vs TUKANA UONE
Mpambano mkareee kweri kweri wadau mna maoni yoyote??? 😂😂😂😂😂
Achana huyo lofa hiyo ndio mitanzania Ina dharau Kwa kuwa inamiliki mikweche ya kijapan ni kiwanja cha miguu kumi Kwa kumi Kigamboni au NamtumboNimeamua kuacha kumjibu sababu he is a desperate , incoherent racketeer playing into ephemeral populism.
Premise ya mada yake ilisema wabongo wa US , CA na UK ni choka mbaya .
Nimempa takwimu ya remittance kahama kasema ni takwimu uchwara akageukia kwenye certificates, sasa mtu kama huyu unaona yuko sawasawa upstairs kweli?
Anasema watu hawarudi kwao anataka kila diaspora humu aonyeshe entry & exit stamps ?
Hakuna popote alipoweka evidence ya rate ya watu na umasikini wao , wala idadi ya watu wanaorudi wala kutoka na ajabu tu ni mtu analinganisha status ya kimaisha ya mtu wa US na TZ kwa kuendesha BWM ! absolutely pathetic
He is just a muttonhead wannabe .
Tajiri usimu ignore muonyeshe utajiri wako ili atulie aache wenge bhana, ataona unamuogopa we mtu mzito bhana!!!Straight to ignore list.
Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
Next.
Humu kila mtu tajiri[emoji23][emoji23]Acha dharau utafanya nifanye mambo ya ajabu hapa mkuu[emoji1787][emoji23][emoji23].
We si unq dharau?!!Onyesha gari unaendea kubeba box then nikuoneshe machine zilizopaki kwa parking lot yangu iliyoko Buza[emoji23][emoji1787][emoji1787].
Iam sure unaendesha kigari cha kike,mwenzio niko kwa mama Samia nasukuma tough machinez za kiume[emoji1787][emoji23].
Onyesha kigari chako uone magari dherue zikuishe[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Unataka na wewe nikuunganishe huko ignore list?Tajiri usimu ignore muonyeshe utajiri wako ili atulie aache wenge bhana, ataona unamuogopa we mtu mzito bhana!!!
Matajiri hawa ignore mafukara ni unawadunga sindano za moto eeee tajiri hebu mtoe kwenye list umuonyeshe madon wa NYC mnavyoishi 😂😂😂😂