Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
TrueNimeona hii Habari ikipostiwa sana tena na Watu wenye umaarufu hapa Nchini,
Kama kina Manara na Idris.
Huu ni mtego wa kuhamisha mjadala.
Wakina Manara wanatumika.
Watanzania tusikubali kupigwa kirahisi rahisi.
Kwani hao wadada wa Sudan wana nini cha ziada? wanapostiwa kwenye mitandao sura zina unafuu lakini maumbile ya ajabu ajabu, hilo si muhimu kwetu kuliko mjadala wa bandariNimeona hii Habari ikipostiwa sana tena na Watu wenye umaarufu hapa Nchini,
Kama kina Manara na Idris.
Huu ni mtego wa kuhamisha mjadala.
Wakina Manara wanatumika.
Watanzania tusikubali kupigwa kirahisi rahisi.
Nakuunga mkono. Nchi hii ina watu wa hovyo sana.Tanzania ni mkusanyiko wa malimbukeni watu wanao kosa exposure wajinga wajinga.....hilo lilikua sio jambo kubwa kiasi cha kutredi social media. Hi elimu yetu imezalisha raia wa hovyo sana, hata na shangaa sana kuona raia washamba.
Hahami ntu hapa, Kwanza hatujawahi kuona mikia Yao ukute hawana Matrakoooo aka wowowoo. Misabwanda.Nimeona hii Habari ikipostiwa sana tena na Watu wenye umaarufu hapa Nchini,
Kama kina Manara na Idris.
Huu ni mtego wa kuhamisha mjadala.
Wakina Manara wanatumika.
Watanzania tusikubali kupigwa kirahisi rahisi.
Ni ushamba sana aisee. As if sijui ni viumbe wa ajabu kutoka sayari gani sijui. Naona aibu sana kuwa mtanzania.Sawa kiongozi, mi nimesikitika tu hadi status kufurika hio habari na vi-memes kibao....kana kwamba ni kitu cha ajabu sanaa
Ni kweli.Akuhamishe nani wewe, Mambo ya nchi hii ni mengi Chagua linalokupa furaha vinginevyo utakonda tu bila sababu za msingi, Hao kina Profesa T ambao Leo wanashupalia mkataba wa bandari ndio haohao waligawana pesa kwenye masandarusi. Tena wakatudhihaki kwa milio 100 kuita ni pesa ya Mboga.
Tuna matatizo yanayotugusa moja kwa moja toka Polisi, Mahakama, Nida, hospitali nk. Watu hatujui faida wala hasara inayopatikana bandarini leo tuache kujifurahisha tukazania Dudu tusilolielewa?!?
Manara, Diamond, Idris n.kUna hoja usikilizwe.
Naunga mkono hojaDP world wapewe hao wadada wa Sudani lakini sio kupewa Bandari za Tanganyika!
Sio mimi,Nonsense.
Mipaka ya nchi amekabidhiwa mwarabu, halafu wewe unatekwa akili na wadada wa Muhimbili?!
Ndio maana ngozi nyeusi tunaitwa manyani na wazungu.
Maneno kama hayo tuliyasikia wakati wa uuzwaji wa NBC, Tanesco, TRC, Gesi ya Mtwara haya twambie viwanda vingapi vimeongezeka au ajira ngapi zimeongezeka baada ya kuuza gesi ya Mtwara au kuuza NBC bank, je umeme haukatiki? Wanavijiji wanaumeme? Nguzo 1 au 3 zikipita kwenye kijiji kilichoko barabara kuu tayari wanakutangazia vijiji vyote vina umeme, tumechoka na ulaghai, uongo, wanakwambia umeme vijijini nguzo ni sh27,000 lkn nenda kaombe umeme hata kama unahitaji nguzo moja uone kama huo umeme utaupata.Wabongo kwa kutunga hamjambo ila hamjawahi kuvunja rekodi yeyote duniani
Naona hata hao Simba wanaouwa ng'ombe mtasema ni Kiki tu kututoa kwenye mstari
Bandari hii ilikuwa imetoboka na kila kinachoingia mfukoni kinapitiliza na kuchukuliwa na wachache
Sasa miaka yote hiyo tumefaidika na nini ?