Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

Hao wanawake wajinga wasipokuwa makini sasa wanaenda kuwa maadui wa taifa, hizo kodi za watanzania wanazokula bure huko bungeni wanajitafutia laana.
Mkuu Taifa gani Hilo ambalo liko tayari kumchukia mtu anayepigania haki yake??sehemu pekee ambako tunaamini Kuna haki ni mahakamani.
 
Kwa huu msimamo chadema imejiweka pazuri Sana, mengine ni mahangaiko tu ya covid 19
 
Mhimili wa mahakama katika nchi yetu ni kama haupo kabisa.
 
Njaa mbaya sana, mfumo ushawatema lakini hawaelewi
 
Yaani wewe uwe na akili kuliko mawakili wa Chadema , huku hujawahi kusimamia hata kesi ya mwizi wa mapera shambani !
Kuna popote nimesema mimi kuwa nina akili kuliko mawakili wa Chadema?. Kusoma sheria sio kuwa Wakili. Kuna wanasheria kibao very bright and brilliant na hawasimami mahakamani!.

The best wa sheria Chadema ni Tundu Lissu, nimemtangulia miaka 2 pale Ilboru. LL.B yangu ni ya UDSM and it's (Hons)!. Sio kila aliyesoma sheria anafanya litigations.

Not always the best runners win the race, or the best fighters win the fight,
this time around, Chadema inakwenda kushikishwa adabu!. Haiwekani kila siku ifanye uhuni iachwe hivi hivi!. Mdee ni Kisiki cha mpingo!.
P
Mahakama ndicho chombo pekee cha utoaji haki ndani ya JMT.
It's very unfortunately katiba ya Chadema, haikitambui hilo!.
P
  1. Sakata la wabunge 19 wa viti maalum wa Chadema ni Chadema wenyewe ndio walilianzisha kwa kugomea nafasi 18 za viti maalum walizopewa na NEC.
  2. Kwa msaada wa kiongozi mmoja mkubwa wa Chadema, Halima Mdee akiwa na Esta Bulaya, wakam convince umuhimu wa nafasi hizo kwa Chadema, akawakubalia kwa shurti wasimtaje.
  3. Halima akawaorganize Wanawake wa Chadema kwa kuanzia na waliokuwa wabunge, wengine wakikubali, wengine walikataa, kwa waliokubali wakaunda a coalition of the willing
  4. Barua bonafide genuine ikaandikwa, mnene akawasainia in return na yeye kuchomekea hapo kakidumu chake, yakaenda NEC, watu wa fursa wakaichangamkia fursa.
  5. Hivyo ni Chadema wenyewe ndio walilianzisha na hizi kati ni Chadema wenyewe wamelimaliza Kwa kikao cha Baraza Kuu kuyabariki maamuzi batili ya CC ya Chadema iliyo wafukuza.
  6. Walipopewa fursa ya kujitetea kwenye kikao cha Baraza Kuu, Halima Mdee akafanya kitendo kingine cha kishujaa kweli kweli kwa kutounguza picha ya Kilichopelekea kwa natumaini mnene yule angewaombea msamaha angalau wabaki wanachama wa kawaida!. Hili halikufanyika hivyo kilichofanywa na Baraza Kuu kuyabariki maamuzi batili ya CC ni uhuni.
  7. Sasa baada ya kuwatimua, ushauri wa bandiko hili bado uko valid, Chadema lazima sasa wautambue uchaguzi, wakubali matokeo, wafanye uteuzi wa wabunge wapya wakaapishwe maisha yaendelee.
  8. Kikwazo ni kimoja, utimuaji uliofanywa na CC ya Chadema ni batili, na baada ya kuonja fursa, jee watakubali matokeo, jee wataukubali ubatili huu au watakwenda mahakamani kutafuta haki yao?.
Jibu litapatikana on Monday.

This is my own recollection.
P.
 
Hua nashindwa kuelewa hv Tz mtu ukiwa kiongoz akili hua zinaenda wapi?Mbowe hapo kachemsha na cdm nzima ,wanajua kabisa hao wabunge hawawez kutolewa,wao wangewasamehe afu wajipange 2025 waachane nao,
 
Safi sana tuli miss vituko vya mahakamani dah utamu unarudi huu ndugai atapanda siyo kizimbani,raha sana
Habari za mfumuko wa bei na kupanda kwa bei ya mafuta Tupilia kwa mbalii !!! Ngoja tuanze kwenda mahakamani tuone nini kitajiri huko !! Hamisha magoli Hamisha magoli !!! Tuuone mpambano !!
 
Ndiyo Upuuzi Badala Wawatoe Tu Maana Speaker Tayari Ana Barua
 
Labda wanaona kwa sababu wapo kwenye msukumo wa watawala basi sheria kwao si kitu.
People are buying time !! Inaitwa delaying tactics !! Siku zinaenda maisha yanasonga mbele !! Kuja kutahamaki 2025 hiyooo !!! Sheria na Sihasa ni kama mchezo wa Draft usipopiga hesabu zako vizuri unakwenda na maji !!!
 
  1. Mkuu Tindo, kwanza nikupongeze kwa your objectivity kwenye kulijadili hili, ni kweli nimesoma sheria na sijawahi kukanyaga mahakamani.
  2. Kwa vile mahakama ndio the statutory body ya kutoa haki Tanzania, kwa mujibu wa katiba, Chadema walipofanya yale mabadiliko ya Katiba ya 2006, na kukichomekea kifungu kinachokwenda kinyume cha katiba ya JMT, kiukweli kabisa there was an oversight ofisi ya msajili, katiba hiyo ilipaswa ikataliwe!.
  3. Mwana Chadema anapotendewa ndivyo sivyo na chama chake, aende wapi kuipata haki yake?.
  4. kule nyuma nilishauri mahali CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
    1. Sakata la wabunge 19 wa viti maalum wa Chadema ni Chadema wenyewe ndio walilianzisha kwa kugomea nafasi 18 za viti maalum walizopewa na NEC.
    2. Kwa msaada wa kiongozi mmoja mkubwa wa Chadema, Halima Mdee akiwa na Esta Bulaya, wakam convince umuhimu wa nafasi hizo kwa Chadema, akawakubalia kwa shurti wasimtaje.
    3. Halima akawaorganize Wanawake wa Chadema kwa kuanzia na waliokuwa wabunge, wengine wakikubali, wengine walikataa, kwa waliokubali wakaunda a coalition of the willing
    4. Barua bonafide genuine ikaandikwa, mnene akawasainia in return na yeye kuchomekea hapo kakidumu chake, yakaenda NEC, watu wa fursa wakaichangamkia fursa.
    5. Hivyo ni Chadema wenyewe ndio walilianzisha na hizi kati ni Chadema wenyewe wamelimaliza Kwa kikao cha Baraza Kuu kuyabariki maamuzi batili ya CC ya Chadema iliyo wafukuza.
    6. Walipopewa fursa ya kujitetea kwenye kikao cha Baraza Kuu, Halima Mdee akafanya kitendo kingine cha kishujaa kweli kweli kwa kutounguza picha ya Kilichopelekea kwa natumaini mnene yule angewaombea msamaha angalau wabaki wanachama wa kawaida!. Hili halikufanyika hivyo kilichofanywa na Baraza Kuu kuyabariki maamuzi batili ya CC ni uhuni.
    7. Sasa baada ya kuwatimua, ushauri wa bandiko hili bado uko valid, Chadema lazima sasa wautambue uchaguzi, wakubali matokeo, wafanye uteuzi wa wabunge wapya wakaapishwe maisha yaendelee.
    8. Kikwazo ni kimoja, utimuaji uliofanywa na CC ya Chadema ni batili, na baada ya kuonja fursa, jee watakubali matokeo, jee wataukubali ubatili huu au watakwenda mahakamani kutafuta haki yao?.Jibu litapatikana on Monday.
  • This is my own recollection.
    P.
 
Kwa hiyo na wewe P ni muumini wa ubadhirifu wa mali za umma?
Hapana , mimi sii muumini wa ubadhirifu, ni muumini wa fursa, zile nafasi 18 za viti maalum ni fursa, Chadema kama chama walizigomea, kina Halima Mdee wakazichangamkia.
Milango iko wazi muda muafaka ukifika watakuja na watapokelewa ila at the moment ni lazima kwanza tushikishane adabu, tusiekeze uhuni!.
P
 
Kipindi cha zitto ulikuwa mdogo sana, pole
 
Mahakama ndicho chombo pekee cha utoaji haki ndani ya JMT.
It's very unfortunately katiba ya Chadema, haikitambui hilo!.
P
Mkuu umemaliza kila kitu, jamaa wasahaulifu sana.
Wamerudia kosa lile lile walilolifanya kwa zitto
 
Hao wanawake wajinga wasipokuwa makini sasa wanaenda kuwa maadui wa taifa, hizo kodi za watanzania wanazokula bure huko bungeni wanajitafutia laana.
Utakuwa wewe ndo Joyce Mukya si kwa hasira hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…