Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwafukuza ni haki yao lakini ktk kuwafukuza lazima uzingatie utaratibu na si kukurupuka tu kwa hisia😀Unadhani CHADEMA wangeweza kufanya jambo gani zaidi ya kuwafukuza mkuu? hebu tusaidie mawazo
Jibu hoja ya msingi kwa kulinganisha na wale wa CUF. Hii double standard hata wewe inaweza kukuathiri.
Maadam jambo hili limefika mahakamani, ngoja mahakama itoe maamuzi ya mwisho wasije kusema wameonewa.
It is the last kicks of a dying horse.
MaCCM wote akili zao hazina akili , yameshajisaulisha .Mambo ya kesi yametoka wapi tena kama mchakato ndiyo huo?!😁😁😁
View attachment 2226670
Mimi wajibu wangu ni kukumbusha wananchi kuwa nchi inaongozwa na Mapaka😁View attachment 2226671View attachment 2226674View attachment 2226676
Mbona kwenye uzi wa Mayalla ulikuwa unasma ndio kwisha habari yao?hivi kuna aliyetegemea tofauti na hili ?
Hao unaowasema hawakwenda mahakamani ukienda mahakamani inabd usubiriHivi haya maamuzi ya Bunge yana double standards?
Mbona wale wabunge wa CUF walipofukuzwa na Mwenyekiti wanayemtambua wao Lipumba, wabunge wale walifukuzwa mara moja na Bunge hilo??
Mbona Sofia Simba alipofukuzwa na CCM, ilitekelezwa mara moja na Bunge hilo hilo??
Iweje Hawa wabunge 19 wa viti maalum kutoka Chadema, ambapo vikao vyote 2 vya juu vya chama hicho, kwa maana ya Kamati Kuu na Baraza Kuu, vikisema wazi kuwa hao wabunge, weshafukuzwa na chama chao cha Chadema, kuwepo na kigugumizi cha kuwatimua Bungeni??
Hivi huyo Spika wa Bunge, Tulia Ackson, ambaye ana Shahada ya PhD ya sheria, haoni namna anavyodhalilisha taaluma yake ya sheria, kwa ajili tu ya kuinufaisha CCM?[emoji3064]
Yaani kuna mambo ya ajabu nchi hii, ambayo yanavunja rekodi ya Dunia!🥺Mambo ya kesi yametoka wapi tena kama mchakato ndiyo huo?!😁😁😁
View attachment 2226670
Mimi wajibu wangu ni kukumbusha wananchi kuwa nchi inaongozwa na Mapaka😁View attachment 2226671View attachment 2226674View attachment 2226676
Tukiwaambia hiki chama ni cha kihuni muwe mnaelewaSwala sio mahakama ila ni uhuni wa Mbowe ....anajua kila kitu kinavyokwenda na hata mkutano mkuu ulipo kaa juzi hakuruhusu kutenguliwa kwa maamuzi ya kamati kuu ila walibariki maamuzi yaliyovunja katiba yao wenyewe... akijua kabisa wataenda mahakamani na yeye kama mnufaika ataaendelea kupata fedha za kuendeshea chama na shughuli zake. So stay tune.
Kuwafukuza ni haki yao lakini ktk kuwafukuza lazima uzingatie utaratibu na si kukurupuka tu kwa hisia😀
Hao waliofukuzwa vyama vingine walienda mahakamani?Hivi haya maamuzi ya Bunge yana double standards?
Mbona wale wabunge wa CUF walipofukuzwa na Mwenyekiti wanayemtambua wao Lipumba, wabunge wale walifukuzwa mara moja na Bunge hilo?...🥺