Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA ni wahujumu pale Bungeni

[emoji2956]
 
Kesi iliyo mahakamani HUKUMU yake tayari??!!!

Hao BAWACHA ni wakaidi wa ushauri wa kisheria?!!!
 
Kwamba nilite ushahidi kwamba hakuna kikao kilochofanyika?

Sasa hapo Unataka ushahidi wa nini wakati hakuna kikao kilochofanyika .

Wewe unayesema kuna vikao vilifanyika embu leta ushahidi wa minutes za vikao hivyo.

Dah ila watu wengine sijui vipi

Yes Lete ushahidi kama hakuna kikao kilifanyika na mm nikupe ushahidi wa kikao cha bahari beach wakijadili ishu ya wabunge kwenda Viti maalumu mpaka finally ya majina
 
Wewe paskali mayala ni mfano halisi wa mtu mzima hovyo.
Uhovyo wake ni kukumbushia kuheshimu mahakama ?!!![emoji849]

Kweli wahenga walinena "NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY BECAUSE ITS UNFAIR TO THE KNOWLEDGEABLE"

#SiempreJMT[emoji120]
 
Uhovyo wake ni kukumbushia kuheshimu mahakama ?!!![emoji849]

Kweli wahenga walinena "NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY BECAUSE ITS UNFAIR TO THE KNOWLEDGEABLE"

#SiempreJMT[emoji120]
Hizo mahakama ambazo zinakuwa remotely controlled na mwenyekiti wa Ccm , nazo mnaita mahakama, wewe naye hujielewi.
 
Na hiko chama wasingekubali kupokea ruzuku kwa kigezo kuwa hawana wabunge.

Kupokea ruzuku tayari wamejinajisi. Bahati mbaya sana baniani mbaya kiatu chake dawa.
 
Yes Lete ushahidi kama hakuna kikao kilifanyika na mm nikupe ushahidi wa kikao cha bahari beach wakijadili ishu ya wabunge kwenda Viti maalumu mpaka finally ya majina
Sasa kama jambo halijafanyika linakuwaje na ushahidi, kweli common sense sio common.
 
hawana kazi za kufanya, wameenda kutingisha vitako vyao pengine wapate wanaume wa kuwatongoza. Mtu mzima na akili zako utaenda kufanya vitu vya kipumbavu km vile.
 
Wakili njaa wewe ....Nilitegemea utuwekee hapa ,kanuni za Ki sheria mpaka kufikia hatua ya tukio hili litanyike..

Shida yenu mnawaamini Sana viongozi wenu ha ha ha wenyewe wanajua ishu mzima, nyie mnakaa kubishana na kubaliza mabando yenu
 
Yes Lete ushahidi kama hakuna kikao kilifanyika na mm nikupe ushahidi wa kikao cha bahari beach wakijadili ishu ya wabunge kwenda Viti maalumu mpaka finally ya majina

Wewe utakuwa hujitambui hakuna kikao kilichofanyika, Kwa hiyo Unataka ushahidi wa kikao ambacho hakijafanyika? Wewe thinking capacity yako ni ndogo sana .
Kikao hakijafanyika , wewe ambaye unafahamu kikao kilifanyika ndio unatakiwa ulete ushahidi
 
Sasa wale ni vyeti feki, mtu ana Chet cha certicate anajifanya ana mastars so hata yy mhusika hawez kwenda mahakamani coz hawez kudhibitisha

Sasa nyaraka feki za covid 19 ndiyo mahakamani wanaweza kuthibitisha? Chadema walishasema hawajachagua na wala hawajawahi kutia siani sehemu yeyote kuchagua hao covid 19.
 
Hawa walisema ipo siku lowassa atashtakiwa kwa ufisadi. Sasa tujiulize nani Leo hii anakumbuka hayo tena?

Kwenye siasa changa karata zako tu, watanzania Ni wasahaulifu. Naamini kina mdee walilijua Hilo

..kina Halima walikuwa wamekata tamaa baada ya uchaguzi wa 2020.

..waliamini Magufuli atadumu madarakani muda mrefu na Chadema na vyama vyote vya upinzani vilikuwa vinakwenda kufa.

..uamuzi wao wa kwenda bungeni kwa njia za udanganyifu na kijinai waliufanya ktk mazingira hayo.
 
Sasa nyaraka feki za covid 19 ndiyo mahakamani wanaweza kuthibitisha? Chadema walishasema hawajachagua na wala hawajawahi kutia siani sehemu yeyote kuchagua hao covid 19.

Tusubiri Mahakama
 
Wewe utakuwa hujitambui hakuna kikao kilichofanyika, Kwa hiyo Unataka ushahidi wa kikao ambacho hakijafanyika? Wewe thinking capacity yako ni ndogo sana .
Kikao hakijafanyika , wewe ambaye unafahamu kikao kilifanyika ndio unatakiwa ulete ushahidi

Hujui vitu wewe kaa kimya tu
 
Punguza ujinga.hauwezi kukusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…