pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hawa walikuwa wakikingiwa kifua na yule bwana mburuza miguu kule bungeni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2956]Kiukweli tuna wanachama wenye akili za ajabu sana humu kwenye vyama vyetu, wale ni wabunge 19 wa viti maalum Chadema, ni wabunge halali kabisa kwa mujibu wa taratibu zote za kibunge!. Wanawake hawa wanaoandamana sasa, ningewashauri wasubiri kwanza matokeo ya kesi iliyopo Mahakamani!, ndipo waandamane.
P
Kesi iliyo mahakamani HUKUMU yake tayari??!!!Leo hii kina mama wa cdm maarufu kama Bawacha wameandamana kuujulisha umma dhidi ya hujuma za covid 19.
Naamini kama watatokea wakashitakiwa kiukweli kabisa kabisa na haki ikatendeka basi hawa kikombe cha uhujumu hakitawaepuka.
View attachment 2617591
Bado....kunakuchaje na wakati kesi iko mahakamani na "ruling" bado?!!!
Kwamba nilite ushahidi kwamba hakuna kikao kilochofanyika?
Sasa hapo Unataka ushahidi wa nini wakati hakuna kikao kilochofanyika .
Wewe unayesema kuna vikao vilifanyika embu leta ushahidi wa minutes za vikao hivyo.
Dah ila watu wengine sijui vipi
Uhovyo wake ni kukumbushia kuheshimu mahakama ?!!![emoji849]Wewe paskali mayala ni mfano halisi wa mtu mzima hovyo.
Hizo mahakama ambazo zinakuwa remotely controlled na mwenyekiti wa Ccm , nazo mnaita mahakama, wewe naye hujielewi.Uhovyo wake ni kukumbushia kuheshimu mahakama ?!!![emoji849]
Kweli wahenga walinena "NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY BECAUSE ITS UNFAIR TO THE KNOWLEDGEABLE"
#SiempreJMT[emoji120]
Na hiko chama wasingekubali kupokea ruzuku kwa kigezo kuwa hawana wabunge.Nilikua siamini ila sasa naamini kuna hila mbaya ndio inawaweka covid 19 kuweza kuendelea bungeni. Kisheria kwa tanzania ukitimuliwa na chama chako uanachama hakuna mtu kuhoji bunge wanakutimua hapohapo. Kama umeonewa uende mahakamani dhidi ya chama chako. Ila kwa hawa covid 19 eti bunge limesubiri waende mahakamani badili ya kuwatimua mara moja. Na sasa wameshindwa bungeni bado wapo huenda tulia atasema wamekata rufani kwa hivyo waendelee kukalia viti huku chama chao kiliwatimua siku nyingi. Yaani wananchi tunastaajabu tu.
Sasa kama jambo halijafanyika linakuwaje na ushahidi, kweli common sense sio common.Yes Lete ushahidi kama hakuna kikao kilifanyika na mm nikupe ushahidi wa kikao cha bahari beach wakijadili ishu ya wabunge kwenda Viti maalumu mpaka finally ya majina
Leo hii kina mama wa cdm maarufu kama Bawacha wameandamana kuujulisha umma dhidi ya hujuma za covid 19.
Naamini kama watatokea wakashitakiwa kiukweli kabisa kabisa na haki ikatendeka basi hawa kikombe cha uhujumu hakitawaepuka.
View attachment 2617591
hawana kazi za kufanya, wameenda kutingisha vitako vyao pengine wapate wanaume wa kuwatongoza. Mtu mzima na akili zako utaenda kufanya vitu vya kipumbavu km vile.Leo hii kina mama wa cdm maarufu kama Bawacha wameandamana kuujulisha umma dhidi ya hujuma za covid 19.
Naamini kama watatokea wakashitakiwa kiukweli kabisa kabisa na haki ikatendeka basi hawa kikombe cha uhujumu hakitawaepuka.
View attachment 2617591
Wakili njaa wewe ....Nilitegemea utuwekee hapa ,kanuni za Ki sheria mpaka kufikia hatua ya tukio hili litanyike..
Sasa kama jambo halijafanyika linakuwaje na ushahidi, kweli common sense sio common.
Uhovyo wake ni kukumbushia kuheshimu mahakama ?!!![emoji849]
Kweli wahenga walinena "NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY BECAUSE ITS UNFAIR TO THE KNOWLEDGEABLE"
#SiempreJMT[emoji120]
Yes Lete ushahidi kama hakuna kikao kilifanyika na mm nikupe ushahidi wa kikao cha bahari beach wakijadili ishu ya wabunge kwenda Viti maalumu mpaka finally ya majina
Sasa wale ni vyeti feki, mtu ana Chet cha certicate anajifanya ana mastars so hata yy mhusika hawez kwenda mahakamani coz hawez kudhibitisha
Swadakta, mtu mzima hovyo anatuaibisha watu wazima wenzake humu jamvini.Wewe paskali mayala ni mfano halisi wa mtu mzima hovyo.
Hawa walisema ipo siku lowassa atashtakiwa kwa ufisadi. Sasa tujiulize nani Leo hii anakumbuka hayo tena?
Kwenye siasa changa karata zako tu, watanzania Ni wasahaulifu. Naamini kina mdee walilijua Hilo
Sasa nyaraka feki za covid 19 ndiyo mahakamani wanaweza kuthibitisha? Chadema walishasema hawajachagua na wala hawajawahi kutia siani sehemu yeyote kuchagua hao covid 19.
Wewe utakuwa hujitambui hakuna kikao kilichofanyika, Kwa hiyo Unataka ushahidi wa kikao ambacho hakijafanyika? Wewe thinking capacity yako ni ndogo sana .
Kikao hakijafanyika , wewe ambaye unafahamu kikao kilifanyika ndio unatakiwa ulete ushahidi
Punguza ujinga.hauwezi kukusaidia.CCM haijafika kwenye kutoheshimu katiba. CCM inaheshimu hadi katiba ya chama tofauti na CHADEMA ambayo Mbowe ndo katiba ya chama na katiba ndo mbowe. Fuatilia kauli za Lissu za hivi karibuni utagundua. CCM imebeba matumaini ya watanzania wote mkiwemo wewe na Mbowe.