Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo.

Hivi mama Samia Mbona sikusikii katika hili? Kizazi kinaharibika mikononi mwako hiki. Simama zungumza hadharani sio zile propaganda mara sijui msiige kutoka sijui wapi. Simama mbele ya hadhara zungumza kwa sauti dunia ikusikie kwamba "Mimi kwenye yangu ushoga ni marufuki." Kwani jamani hiyo misaada sisi ndio tutakuwa wa kwanza kuikosa? Kwani tutakufa? Pamoja na hiyo misaada mbona mchele ni 3500 na mafuta ni 8000/tr mbona hatufi?

Na nyie Wabunge mnaojiita mnawawakilisha wananchi ndio bure kabisa. Hivi kweli hamuoni kizazi kinavyoangamia hiki? Sasa angalia askari naye kafanya yake. Yaani mume wa mke na baba wa watoto na askari mtuliza ghasia naye ni shoga. Hivi hamuoni kama tumefika mbali sana? Potelea pote, peleka muswada wa sheria, itungieni sheria kwamba ushoga na usagaji ni kosa tena litungiwe adhabu kali. Dunia itaiheshimu Tanzania.

Yaani mnajali tu hiyo misaada mnasahau kabisa kizazi kijacho. Hivi kweli nchi kama Tanzania sasa ushoga umeingia mpaka jeshini kuna usalama hapa kweli?

Nayaandika haya kwa uchungu sana. Kinachoniuma sijaona kiongozi hata mmoja mwenye dhamira ya dhati ya kulikomesha hili. Inabaki ni propaganda tu lakini kama nchi hatuna msimamo katika hili.
Utawezaje kuumaliza ushoga, watu wawili wamo chumbani wanafanya yao wewe utawezaje kuwazuia? Ipo sheria inayokataza kufanya mapenzi na walio chini ya miaka 18, lakini watu wanafanya na adhabu za jela miaka 30 hazijazuia uhalifu huo, dini nazo zinakataza lakini waumini na viongozi wao wanafanya mambo hayo.
 
Watunge sheria wakati sheria zipo na zikataza, au hujui kabisa sheria? Ukifanya mapemzi kinyume adhabu yake miaka 30, sheria ipo
 
Hapa sio makasiriko tuoneshe sheria ya karne ya 7 hapa kama huna tulia
Mbusu jiwe mwenzako katika Imani
Kasema kuoza chini ya miaka 18 ni mbaya

Amejisahau mbusu jiwe mkuu Muhammad alikuwa anapiga mbupu mbaya kabisa katoto Cha miaka 6

Sasa wewe unajua Sheria ya Karne ya 7 iweke Mimi nakiri sijui
 
Sasa kama hujui unajuaje kama alikosea hhahahhahaha kwa mujibu wa sheria za zama hizo

Tulia hapo papa anawatafutia waume

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo pedophile Muhammad hakukosea kupiga mbupu katoto ka miaka 6? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

Ila jombaa lazima alikuwa na kibamia
Hiyo shida ni wewe kusubiri kupigwa mbupu tu imeisha hiyo

Alafu hujakaa sawa kuna yule jamaa alie surubiwa kafa hana kitu chini nini

Ndio maana papa akaona isiwe tabu bora muolewe tu
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Maana mkubwa wenu tu dhaifu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo shida ni wewe kusubiri kupigwa mbupu tu imeisha hiyo

Alafu hujakaa sawa kuna yule jamaa alie surubiwa kafa hana kitu chini nini

Ndio maana papa akaona isiwe tabu bora muolewe tu
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Maana mkubwa wenu tu dhaifu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ukweli usemwe tusipindishe na kujificha

Pedophile Muhammad alikuwa na kibamia na hakutahiriwa alikuwa Govinda , na pia kichaa

Kidume kamilifu huwezi ingilia katoto ka miaka 6
 
Ndio nasema ukweli hapa Papa ameshasapoti ushoga

Hivyo mnapaswa kubanduliwa maana anajua kiongozi wenu tu alie sulubiwa hajau mwanamke yukoje akivua chupi

Sasa unafikiri msiwe magashoo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli mchungu
"Shule za boarding zinachangia kwa kiasi kikubwaa"
 
Wanaanzia wapi?

Wao wenyewe maslahi yao yapo kwenye huo ushoga. Wazungu wakiona wanaume wanapigana denda wanatuma ruzuku.

Ni swala la muda tu, ili kumridhisha mzungu baadhi ya hao wabunge watajitangaza kuwa ni mashoga.

Swala la ushoga lina mizizi mirefu kuliko hata tunavyohisi.

Mzungu kadhamiria watu wa jinsia moja wapakuane vinyesi hadi basi. Na kutimiza hilo kwa huku kwetu katumia udhaifu wa tamaa za viongozi wetu kuhakikisha marijali wanapotea kabisa.

Ukute Bi. Tozo keshakunja mtonyo wake aruhusu makuchu na ndio maana humsikii hata kukemea kama Museveni anavyofanya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukweli usemwe tusipindishe na kujificha

Pedophile Muhammad alikuwa na kibamia na hakutahiriwa alikuwa Govinda , na pia kichaa

Kidume kamilifu huwezi ingilia katoto ka miaka 6
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnatumia nguvu nyingi kupinga ushoga bila kujua ndo mnautangaza zaidi.

Kupinga ushoga ni jukumu la kufanyika at a family level sio kila kitu usubiri serikali. Usipomlea mtoto wako vyema usitegemee tamko la serikali kumnusuru atapopolewa tu.
 
Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo.

Hivi mama Samia Mbona sikusikii katika hili? Kizazi kinaharibika mikononi mwako hiki. Simama zungumza hadharani sio zile propaganda mara sijui msiige kutoka sijui wapi. Simama mbele ya hadhara zungumza kwa sauti dunia ikusikie kwamba "Mimi kwenye nchi yangu ushoga ni marufuki." Kwani jamani hiyo misaada sisi ndio tutakuwa wa kwanza kuikosa? Kwani tutakufa? Pamoja na hiyo misaada mbona mchele ni 3500 na mafuta ni 8000/tr mbona hatufi?

Na nyie Wabunge mnaojiita mnawawakilisha wananchi ndio bure kabisa. Hivi kweli hamuoni kizazi kinavyoangamia hiki? Sasa angalia askari naye kafanya yake. Yaani mume wa mke na baba wa watoto na askari mtuliza ghasia naye ni shoga. Hivi hamuoni kama tumefika mbali sana? Potelea pote, peleka muswada wa sheria, itungieni sheria kwamba ushoga na usagaji ni kosa tena litungiwe adhabu kali. Dunia itaiheshimu Tanzania.

Yaani mnajali tu hiyo misaada mnasahau kabisa kizazi kijacho. Hivi kweli nchi kama Tanzania sasa ushoga umeingia mpaka jeshini kuna usalama hapa kweli?

Nayaandika haya kwa uchungu sana. Kinachoniuma sijaona kiongozi hata mmoja mwenye dhamira ya dhati ya kulikomesha hili. Inabaki ni propaganda tu lakini kama nchi hatuna msimamo katika hili.
Kwa bahati mbaya ushoga ndio kwanza unabisha hodi na kama ilivyokuwa Ulaya ushoga utakuwa kawaida na haki ya mtu hata hapa nchini.
 
Watapigaje marufuku ushoga ikiwa waganga wao wanawataka wafanye hivyo ili kulinda viti vyao bungeni na kung'arisha nyota... Tanzania ni nchi ya shirki
 
Pambaneni na ujinga Mambo yanyobaki yataondoka yenyewe
Marekeni wanako watambua mashoga, ambako wana vilabu vyao kabisa, vinavyotambulika na serikali.

Alicho andika mleta mada ndicho sahihi, Dunia ya wajinga huko nyuma swala la ushoga halikua kubwa kama ilivyo sasa, na tatizo ni nyie mlioelimika, mnataka haki, hata kwenye vitu vya kipumbavu.

Mwisho nikuulize nchi tunazoona wametokomeza ujinga, ushoga hakuna.
 
Back
Top Bottom