Tetesi: Wabunge kumpigia kura Spika wa Bunge kutokuwa na imani

Jiwe kaiharibu sana hii nchi, sijui tulikosea wapi
Kitu kikiharibika kinatakiwa kirekebishwe haraka sio kukiharibu zaidi ilhali Mamlaka yote ya kukirekebisha unayo !! Ukiona huwezi unawapisha wanaoweza !! Wazungu Wanasemaga To fall down is an accident but to stay down is a choice !! Acheni visingizio watu waadhibiwe wanaoiba mali za Umma !!
 
Yule spika alishasema Rais halazimishwi kufuata ushauri wa bunge. Sasa wananchi maslahi yao yatalindwaje?. Huyo spika ni kibaraka wa Ikulu bungeni.
Nakubaliana na wewe mkuu
 
Kwanini wapoteze muda...badala waendelee na kujadili bajeti za wizara, mm binafsi naona speaker wetu yupo sahihi
 
Watz hawawezi kuamka hadi siku uchawi wa babu wa kwanza (mfalme) uitwao mwenge utakapofutwa!
 
Hiyo jeuri hawana! Kwanza 95% next uchaguzi wanatupwa nje maana walibebwa na JPM. Bora wajijengee heshima wapiganiwe na wananchi lakini kwenye chama hawatoboi.
Kweli kabsa hata nje ya chama tutawatema tu hakuna wanalofanya, wanadhani sisi hatuoni
 
Mazoea hujenga tabia.

Jambazi akikosa wa kuwaibia, hugeukia hata ukoo wake. Hawezi kuacha ujambazi. Tulia alipelekwa Bungeni kwa dhamira mbaya, kamwe hatabadilika awe kwa maslahi ya umma.
 
Kwanini wapoteze muda...badala waendelee na kujadili bajeti za wizara, mm binafsi naona speaker wetu yupo sahihi
Tatizo sio Spika tatizo lipo kwenye Katiba !! Rais ndio kila kitu ! Atakachoamua ndicho kitakachokua hata Spika mstaafu anajua hivyo !!
 
Kabla sijasoma hadi mwisho, huyo spika ni wa nchi gani?
 
Hoja hizi nyepesi sana, sio za kumng'oa spika. Anyway, ngoja tuone. Nitaamini tu endapo akitolewa uspika.
 
Kwa CCM ni kuishia hadithi za alinacha
 
Kabisa mambo yanazidi kuwa magumu
 
Wabunge gani? Hawa hawa waliookotwa na kuwekwa na jiwe??
 
Mungu hajawahi shindwa. Kiza kitawafanya watafutane na katika kutafutana kila mmoja atanena kwa lugha yake. Wakati kila mmoja akinena kwa lugha yake tafakari Nini kitakuwa kinaendelea? Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…