KITALIKA Titho E
Member
- Jun 25, 2019
- 14
- 21
Hahaha unaimani kali ndugu!!Usimkufuru Muumba Kwa sababu ya tofauti za itikadi! Na hata ikibidi kukufuru, usiwatakie uzao wako laana zisizo na sababu! Kwanini ujiapize kwa mambo madogo tu haya, ambayo ni tofauti za kimtazamo tuu?!
Chief unachanganya sana hapa, hatua zilizochukuliwa na chadema ni mbili muhimu;Hapa ndio nimeamini chadema ni kundi la wajinga na waliteleza kuondoka bungeni maana hata korona bado haijakwisha na sidhani kama wamepima kujiangalia kama wana Corona au lah!
Halafu chadema watwambie bungeni ni salama au lah? Maana mwanzo walisema siyo salama kabisa!
Wanatwambia kuwa bungeni ni salama sasa na walifanya makosa kukimbia?
Sent from my iPhone using Tapatalk
Wameingia Bungeni? Tupeni updates!Chadema wachache lakini akili kubwa. Inakuwaje wale wengine rundo kubwa ila majanga?
Sasa mbona Mbowe alionekana jana kuzurura Dar wakati karantini haikuwa imeisha?
Kwanza hotuba zao siku zote hukataliwa, wala hawajapoteza kitu; pia mawazo yao mazuri hupuuzwa; hadi chama cha wajinga kitoke madarakani ndo kambi ya upinzani itakuwa na maana bungeni! Ilikuwa muhimu kulinda afaya zao, haina haja kugang'ani na kuishia kufa eti unatetea wananchi! Sijui nani anawatetea wananchi waliokuwa wanatetewa na Mahiga?Ni Jambo jema japo kimsingi kuna mambo yameshawapita hasa hotuba za Kambi ya Upinzani kutokuwasilishwa, hili ndilo lilikuwa kosa kubwa sana na nasikitika kwanini mlilipuuza maana wananchi wamekosa uwakilishi ambao wengi wetu tunategemea kambi ya Upinzani wangekuwa wawakilishi wetu
Siyo imani tu, nina upendo pia! Hasa hasa kwa hao wa uzao wako, ambao naamini ni New Generation, tuwape urithi mzuri!Hahaha unaimani kali ndugu!!
Lakini ndo hivyo usiyaweke sana rohoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
WHO wenyewe wanasisitiza self isolation! Alotoa hilo wazo ni mmojawapo tena kwenye twitter account yake, si official statement ya WHO! Soma na sikiliza habari kijana!Makene WHO wameshasema COVID-19 is here to stay! Acha ngonjera mkuu. Pia waambie hao wabunge 14 waliotajwa na Spika warudishe pesa zetu!
Hapa ndio nimeamini chadema ni kundi la wajinga na waliteleza kuondoka bungeni maana hata korona bado haijakwisha na sidhani kama wamepima kujiangalia kama wana Corona au lah!
Halafu chadema watwambie bungeni ni salama au lah? Maana mwanzo walisema siyo salama kabisa!
Wanatwambia kuwa bungeni ni salama sasa na walifanya makosa kukimbia?
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hapo na mimi ndo nashangaa. Kwanini waende kujumuika nawabunge wengine mjengoni ambao bado hawajapima? Sasa hapo utakuwa umefanya nini?Hahahahha... Hawa jamaa ni wajinga sana,!
Kwa hiyo wanalejea kwenda kuambukizwa tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
haya chadema jibuni swali bunge sasa ni salama kuliko kabla hamjaondoka? kama mnaliona kwa sasa ni salama ni kwa vigezo vipi mumetumia? leteni jibuHalafu chadema watwambie bungeni ni salama au lah? Maana mwanzo walisema siyo salama kabisa!
mkuu katika chama wa upinzani pumbavu kuliko vyote dunia chadema inaongoza ikiwa chini ya Mbowe sio chama hiki ni kundi la wajinga fulani waliorundikana kwa mwavuli wa chama.Tatizo mwenyekiti na katibu mkuu elimu hawana .ujuaji bila elimu una mwisho.Hayo ndio matokeo yakeHapo na mimi ndo nashangaa. Kwanini waende kujumuika nawabunge wengine mjengoni ambao bado hawajapima? Sasa hapo utakuwa umefanya nini?
WHO iliwahi toa maagizo kwa nchi gani au chama gani kwenda karantini? ??Keyword kwenye hotuba ya Mnyika :“Wabunge wetu wote waliotekeleza makubaliano na uamuzi wa Chama na Wabunge wa kujitenga kwa siku 14 ambayo yanatokana na maelekezo na ushauri wa Wataalamu wa afya ikiwemo WHO,” Yaani huo ni utetezi tosha mbele ya dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani korona imeisha mpaka warudiWabunge wote wa Chadema ambao hatimae wamehitimisha siku 14 za kujitenga (self isolation) kwa kukaa nyumbani na kutohudhuria shughuli za Bunge, vikiwemo vikao vya Bunge, ndani ya ukumbi na kamati zake katika maeneo mengine ya mhimili huo, leo Ijumaa, wanatarajiwa kurejea bungeni kuendelea na majukumu yao, baada ya kuwa na uhakika kuwa hawana maambukizi ya Ugonjwa wa COVID19.
Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. John Mnyika (Mb) amesema kuwa Wabunge wa Chadema waliotekeleza uamuzi wa makubaliano ya Chama na wabunge, ya kujitenga kwa kutofika maeneo yote ya Bunge, walitekeleza masharti na ushauri unaotolewa na wataalam wa masuala ya afya kuhusu namna bora ya kujikinga au kupunguza maambukizi ya Virusi vya Corona, miongoni mwa watu hasa inapotokea mahali walipo zipo taarifa kuwa kati yao kuna maambukizi ya virusi hivyo vinavyosababisha Ugonjwa wa COVID19.
"Wabunge wetu wote waliotekeleza makubaliano na uamuzi wa Chama na Wabunge wa kujitenga kwa siku 14, ambayo yanatokana na maelekezo na ushauri wa wataalam wa afya, likiwemo Shirika la Afya Duniani, kwa sasa, kuanzia leo, watarejea bungeni kuendelea na shughuli za kuwawakilisha wananchi, huku wakiendelea kuzingatia tahadhari zote za kujikinga wao na kuwakinga wengine wakiwemo wabunge wengine, Watumishi wa Bunge na wananchi wetu," amesema Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. Mnyika.
Itakumbukwa kuwa Wabunge wa Chadema walianza kutekeleza makubaliano hayo tarehe 1 Mei, mwaka huu, baada ya kuwepo kwa taarifa za maambukizi ya Ugonjwa wa COVID19 katika maeneo ya Bunge, hususan miongoni mwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hivyo siku hizo 14 zinazoelekezwa na wataalam wa afya zimemalizika jana na sasa wana uhakika na afya zao dhidi ya maambukizi ya COVID19.
Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. Mnyika ameongeza kusema kuwa msingi wa makubaliano hayo, unatokana na maelekezo na ushauri wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ambayo yamethibitisha kuwa, kujitenga (self isolation) ni mojawapo ya njia muhimu zilizothibitishwa kisayansi katika kuzuia au kupunguza maambukizi ya Virusi vya Corona, kwa sababu inasaidia kuvunja au kupunguza muingiliano wa watu.
Imetolewa leo Ijumaa, Mei 15, 2020 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema
View attachment 1450788
View attachment 1450789
Kichekesho walikimbia bungeni kwa madai ya kwenda kukaa karantini Sasa wanarudi bungeni kwenye bunge lile lile ambalo asilimia kubwa karibia wote hawajakaa karantini ukiondoa hao 15 wa chadema je huoni Ni utoto na usanii tu walio ufanya? Kama walikimbia maambukizo mbona wanarudi Tena wakati wabunge walio baki hawakuacha bunge Wala hawajapimwa Wala hajakaa karantini swali si wataambukizwa Corona Sasa?Wabunge wote wa Chadema ambao hatimae wamehitimisha siku 14 za kujitenga (self isolation) kwa kukaa nyumbani na kutohudhuria shughuli za Bunge, vikiwemo vikao vya Bunge, ndani ya ukumbi na kamati zake katika maeneo mengine ya mhimili huo, leo Ijumaa, wanatarajiwa kurejea bungeni kuendelea na majukumu yao, baada ya kuwa na uhakika kuwa hawana maambukizi ya Ugonjwa wa COVID19.