Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

Bado chato haifai kuwa mkoa ulikuwa ubinafsi tu wa jiwe aisee Yani wilaya imeze mkoa wa Geita selfish idea kabisa hyo
Tena wewe kama umeajiriwa serikalini unapaswa uhamishiwe wilaya mojawapo za mkoa mpya wa chato ukawatumikie wananchi
 
Solution ni Makao makuu ya mkoa wa Geita yahamishiwe Chato halafu mkoa wa Geita ubadilishwe jina uitwe CHATO.

Ombi la muombolezaji aitwae Bigambo litakuwa limeshatekelezwa bila ya kuwaathiri Wana KAGERA
 
Mkoa wa kagera ni maskini in general usiwasingizie hao sijui wasubi na wengine kwa kujiona wahaya ni Bora aisee
Wilaya ya biharamulo ndo maskini zaidi mkoani kagera ...
Biharamulo ni ya pili nchini kwa umaskini huku zaidi ya 60% ya wakazi wake ni maskini kadri ya takwimu.

Ngara ipo top ten ya umaskini nchini zaidi ya 52% ni maskini na ni wilaya ya pili kwa umaskini kagera.




So Bora ziunganishwe na kutengenezewa mkoa wake ili ziangaliwe zaidi
 

Si walisema Mkoa wa Geita ubadilishwe uitwe Chato. Simple as that!
 
Kwani kuanzisha mkoa wa chato inazuia nini kumegwa kwa mkoa wa tabora na morogoro kama navyo vimekidhi vigezo ?

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Hoja kubwa wanasema hizo wilaya zinazotakiwa kumegwa, pamoja na Chato, wakazi wake wengi ni warundi, kiusalama, ina hatari.

Wakimbizi wa Burundi walifanikiwa kutoa Rais wa Tanzania!!
Kuna kitu kikubwa sana hapa umekiongelea kuhusu warund na madhara yako kisiasa na kijamii na kiusalama. sema tu weng hawajui kubold maneno. Sabab zote tunaweza kuziachia lakin walau ya ukubwa wa eneo likimegwa kubak km za mraba 16000 si la kudharau. Tujue Mkoa mpya ni kuzalisha matumiz zaid ya serkali katika mapato yale yale.
 
Walitakiwa kuwa na misimamo kama hii kipindi cha lile jendawazimu vinginevyo wanatupigia kelele tu, ila mimi nilishawahi kusema jiwe alitaka chattle iwe nchi kabisa sio mkoa ,tumsuhukru saana Mungu , yaani alitamani hata bahari na yenyewe aipeleke kule , jinga kabisa lile janaharamu
 
Wahaya wanasema bwana Bigambo (muombolezaji) "atuache kidogo"

Hapo bado waha nao hawajatoa tamko, maana na wao wilaya yao ya Kakonko "iko kwenye menyu"
 
Kumbe wabunge wa Bukoba, nilifikiri wabunge wa Ngara na Biharamulo maeneo yanayopendekezwa kumegwa...nyie wahaya acheni ubinafsi mnajidai leo ndio mnazithamini Ngara na Biharamulo pathetic!
Wanasema mkoa wao usiguswe, tena hawataki mazoea katika hili.
 
Umeupiga mwingi sana
 
Wabunge wa Mkoa wa Kagera, Wamepinga kitendo cha kuendelea kuumega Mkoa wa Kagera. Hii imekuja baada ya Kuanzishwa Mchakato wa kufanya Wilaya ya Chato iliyopo Geita kuwa Mkoa.


1
This is strengthening the weakest by weakening the strongest. Yaani kutengeneza na kufufuagari mbovu kwa kuchomoa spea kutoka gari linalotemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…