Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi.

"Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti, UNESCO watanishangaa mimi mtaalamu wa eneo hili," Prof. Muhongo.

Chanzo: Nipashe
Pia soma

1.jpg
 
Wawajibishwe hao walioinjinia hiyo Professorial rubbish!!!


Jiwe alikuwa mkali lakini akapigwa na kina Osoro, shithole nations tuna safari ndefu sana!!!!!


JESUS IS LORD
Professional Rubbish , mayele anatuona hatuna akili au?
 
tatizo hapa si kuchafuka kwa mto mara, ila wa Tanzania wengi mna majibu yenu ambayo tayari mmeisha yapigia mstari, haya basi kwanza andaeni data za uongo kama alivyo fanya jiwe kwenye makinikia, ndiyo mumtie hatian yuho 'mtuhumiwa' wenu, vinginevyo mtachezeshwa root reggae ……………..
 
DKT.MUSUKUMA AJIUZULU

Mhe. Joseph Musukuma amejiuzulu nafasi yake ya ubalozi wa mazingira baada ya kutokuridhishwa kwake na ripoti ya uchafuzi mto Mara.Amelishauri bunge liikatae ripoti kwa sababu ni proffesorial rubish, "magugu Maji hayauwi samaki,wala hayazalishi mafuta"
 
Back
Top Bottom