- Thread starter
- #21
Ila hoja ya kuikataa ripoti ingetolewa na wabunge wa Chadema CCM wangepinga na kuitetea.Hahahaaaa........ Kazi imeanza.
Nilisema hapa bunge la chama kimoja huwa ni matata sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila hoja ya kuikataa ripoti ingetolewa na wabunge wa Chadema CCM wangepinga na kuitetea.Hahahaaaa........ Kazi imeanza.
Nilisema hapa bunge la chama kimoja huwa ni matata sana!
Na posho warudishe.Waliohusika Kudanganya Umma wachukuliwe Hatua Kali...
Mkuu kila mtu Tanzania ni mwizi katika nafasi yake. Temana na JaffoYaani JAFO alivyofanikiwa kuiba Hela na wakurugenzi,dc wa wilaya na ma rc enzi za jiwe anadhani ataemfeleza WIZI ule halafu tunyamaze kwa kweli kwa hili la kila RUSHWA ya wenye migodi waliochafua huo mto mara ofisi ya raisi mchunguzeni huyo Jafo inawezekana anautaka 2025.
Bunge likiwa serious,JAFO ANATOLEWA MCHANA KWEUPE.
Ukiachana na huo upupu kwenye report, nionyeshe waziri ambae hajaiba awamu ya 5 na ambae haibi sasa hivi. Juzi tu hangaya katoka kuwaambia wanavimbiwa sana.Yaani JAFO alivyofanikiwa kuiba Hela na wakurugenzi,dc wa wilaya na ma rc enzi za jiwe anadhani ataemfeleza WIZI ule halafu tunyamaze kwa kweli kwa hili la kila RUSHWA ya wenye migodi waliochafua huo mto mara ofisi ya raisi mchunguzeni huyo Jafo inawezekana anautaka 2025.
safi ktk uchunguzi na wale walochunguza mwanzo wachunguzwe nao.#HABARI Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi.
"Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti, UNESCO watanishangaa mimi mtaalamu wa eneo hili," Prof. Muhongo...
Na iwe kama ilivyokuwa kwa akinaBunge likiwa serious,JAFO ANATOLEWA MCHANA KWEUPE.
Angekuwa msafi angejiuzuru kupisha uchunguzi huruatenguliwe, ushahidi wa kutosha upatikane apelekwe mahakama ya mafisadi, sheria ichukue mkondo wake. No one is above the law.
YESU NI BWANA