Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

Kama picha inavyojieleza, wajuzi wa mambo tupeane dondoo

Screenshot_20220405-151954_WhatsApp.jpg
 
Muwe mnasoma na content,musukuma kajiuzulu ubalozi wa mazingira alioteuliwa na jafo
 
Mkuu kila mtu Tanzania ni mwizi katika nafasi yake. Temana na Jaffo

Mkuu Maghayo omba msamaha kwa tusi ulilolitoa. Mkuu MOD hivi hakuna BAN kwa watu kama Maghayo? . Ndugu Maghayo kama wewe ni mwizi ni muhimu ukajua kwamba sio kila mtu ni mwizi. Napenda nikupongeze kwa kukiri hadharani tabia yako ya wizi LAKINI ni vyema ukaenda hatua moja zaidi kwa KUTUBU huo wizi wako na kuahidi hapa JF kwamba hutourudia tena.

Ahsante
 
Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi.

"Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti, UNESCO watanishangaa mimi mtaalamu wa eneo hili," Prof. Muhongo.

Chanzo: Nipashe
Pia soma

Proved unakwitwa huku sasa kimeumana. Profesa dhidi ya Profesa ukituambia tuheshimu taaluma.

Tuliheshimu taaluma siku zote tukiomba wenye meno waumane.

Hapa sasa menyewe kwa menyewe 😂😂.
 
Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi.

"Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti, UNESCO watanishangaa mimi mtaalamu wa eneo hili," Prof. Muhongo.

Chanzo: Nipashe
Pia soma

Hata kama tafiti zibishane zenyewe kwa zenyewe hii ya mto mara aiseeee Ina maajabu yake,, mikojo Ina sumu na ng'ombe bado wangali hai na maziwa watu wanakunywa na hawazuliki!!! Kaaaaa nyie jamaa. Turudishieni chenjiiiii
 
ili tuwaamini kuwa hamuogopi mwambieni waziri mkuu alete bungeni ripoti za masoko yaliyoungua
 
Ukiachana na huo upupu kwenye report, nionyeshe waziri ambae hajaiba awamu ya 5 na ambae haibi sasa hivi. Juzi tu hangaya katoka kuwaambia wanavimbiwa sana
Waziri wa CCM na kuiba ni sawa na samaki na shombo
hivi mbona mbowe naye anaiba sana tu mbona huwaga hamsemi kuwa ni kama samak na shombo hebu muulizeni hela million miamoja aliyopewa na sabodo kujenga ofisi aliipeleka wapi mpaka leo mpo ufipa? acheni kunanga watu hali na nyie mnaliwa kimyakimya
 
ili tuwaamini kuwa hamuogopi mwambieni waziri mkuu alete bungeni ripoti za masoko yaliyoungua
kwani ripoti gani hujaisikia karume mateja yamechoma kariakoo umeme unataka uambiwe ccm wamechoma ndiyo ujue ni ya ukweli?
 
Back
Top Bottom