Umeisoma report hiyo ya mikojo na kinyesi cha ng'ombe? Well, walau basi umesikiliza uchambuzi wa wabunge? Binafsi sikua na IMANI na ile report since day 1 inatangazwa, sijaisoma but nimemsikiliza profesa Kitila Mkumbo, na nukuu baadhi ya mchango wake, kwamba kwenye ile report kuanzia mwanzo hadi mwisho wa uchunguzi wao, hakuna sehemu hata moja walipogundua uwepo wa mavi ya ng'ombe na mikojo, hilo linaonekana kwenye conglusion yao (kama umewahi kuandika report kuna kitu kinaitwa excutive summary report, mkono na kinyesi cha ng'ombe kinaibuka) Profesa Kitila anamuuliza profesa mwenzie, kwamba kama mwanafunzi wake angeandika kitu cha namna hiyo, hana UHAKIKA yeye angemfanya nini huyo mwanafunzi kwa report ya naman hiyo. Jaribu kwenda youtube halafu tafuta hizo clip upate madini, usipende kubisha tu wakati hujasikiliza pia upande wa pili