Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

Ndo unachowaza. Je we mkeo au mumeo akiwa serious utakuwa wapi? Why always negativity. Hawezi kuwa mpumbavu kiasi hicho kupokea Rushwa ya kijinga.
Lakini aliweza kuwa mpumbavu wa kiwango cha zege kukubali yaliyo kwenye ripoti
 
Kwa akili yako unadhani ripoti kamahii ingeweza kutolewa awamu ya tano?
 
Kwa akili yako unadhani ripoti kamahii ingeweza kutolewa awamu ya tano?
Mwaka 2018, ambapo hali kama hii ilijitokeza ngombe walipokufa na walipokuwa wakichinjwa wanakuta nyama ni nyeusi, , rais alikuwa nani?!!yeye hata mambo ya tume alikuwa hana muda nao kabisa.

Ni mambo mangapi yalitokea wananchi wakahitaji iundwe tume lakini wapi!!na kuna hata mbunge mmoja alikuwa anaweza kusimama na kuhoji!

MUNGU FUNDI.
 
Hata hao wanao taka kuanzisha tume huruu wanataka mlungulaa tu,wameona hawajapata wanatafta njia na wao kupata mgao wao.north Mara barrick watatoaa chochote kuruka hi kashifaa
 
Umeisoma report hiyo ya mikojo na kinyesi cha ng'ombe? Well, walau basi umesikiliza uchambuzi wa wabunge? Binafsi sikua na IMANI na ile report since day 1 inatangazwa, sijaisoma but nimemsikiliza profesa Kitila Mkumbo, na nukuu baadhi ya mchango wake, kwamba kwenye ile report kuanzia mwanzo hadi mwisho wa uchunguzi wao, hakuna sehemu hata moja walipogundua uwepo wa mavi ya ng'ombe na mikojo, hilo linaonekana kwenye conglusion yao (kama umewahi kuandika report kuna kitu kinaitwa excutive summary report, mkono na kinyesi cha ng'ombe kinaibuka) Profesa Kitila anamuuliza profesa mwenzie, kwamba kama mwanafunzi wake angeandika kitu cha namna hiyo, hana UHAKIKA yeye angemfanya nini huyo mwanafunzi kwa report ya naman hiyo. Jaribu kwenda youtube halafu tafuta hizo clip upate madini, usipende kubisha tu wakati hujasikiliza pia upande wa pili
 
Hiyo clip hii hapa


Lakini kama unashangaa yaliyomo kwenye ripoti hiyo, Je haya uliwahi kuyasikia! (Hii Tanzania bwana)

 
Huo mto una ukubwa gani hem leteni picha hapa tuone kama kuna cha kujadili, mana isijekuwa tunajadili vidimbwi
 
Nadhani tume huru imeisha undwa..je italeta majibu lini bungeni?ama ndio ripoti kuwekwa makabatini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…