Wabunge waliofukuzwa CHADEMA wapo Bungeni leo Juni 23, 2022, Spika kawaruhusu kuuliza maswali

Spika bado hajapokea Maamuzi Kimaandishi.... Anasikia tu juu juu Mitandaoni...!
Wajanja kama mie hawateseki wanaendelea kumwagilia moyo na vitu bardiiiiiii..!

Shauri zake mwache ajifanye mwamba siku ya kuanguka haijui. Amuulize Ndugai kilichomkuta.
 

Tatizo ambalo huelewi ni kwamba chadema haina wabunge wa viti maalum. Waliopo ni wa serikali.
 
Sarakasi za ccm, Wala sio Maamuzi binafsi ya speaker
 

Hao madada wamelaaniwa kabisa. Shida yao ni mshahara sio ubunge.
 
Spika bado hajapokea Maamuzi Kimaandishi.... Anasikia tu juu juu Mitandaoni...!
Wajanja kama mie hawateseki wanaendelea kumwagilia moyo na vitu bardiiiiiii..!
Mbona mwanzo aliwaacha bungeni hata kabla mahakama haijatoa uamuzi
 
Hujui kitu kabisa kuhusu sheria
 
 
Unao hao hadi 2025
 
Si mpaka apate taarifa rasmi kwa mujibu wa taratibu.
Hawezi kufanyia kazi mitandao vuta subira
 
View attachment 2269527
 
View attachment 2269527
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…