Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Tarehe za mishahara serikalini hizi, wanavuta posho ya leo na mshahara wa mwezi huu tayari unasoma kwenye account.Unaweza ukasema wanaipenda sana kazi kumbe ni njaa ndo inawaletea ujasiri wa kuwepo hapo tena wengine hapo wanawafuga waume zao nyumbani
Bongo kwenye swala la pesa lazima uwe kauzu, unadhani wanapenda warudi kwenye maisha mpaka uvuliwe chupi ndio upate pesa?