hakuna uchawi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 661
- 677
Unafrahia kuibiwa kodi zetuWanaendelea kusinya posho, endelea kubwabwaja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafrahia kuibiwa kodi zetuWanaendelea kusinya posho, endelea kubwabwaja.
Msisahau hata huyo spika ni product ya ukatili na wizi wa kura wa meko.
Mambo sio marahisi kama mnavyodhani
Hapo kanasubiri barua ya mahakama
Wanaruhusiwa ila wanatakiwa wafanye wakiwa nje ya Bunge kama ilivyokua kwa Nassari na Lissu why Hawa wanabaki bungeni mbona hii window kina Sophia Simba hawakupewa?? Hii nchi kuna vitu vinaudhi sanaKuna mwanasheria nilimsikia anasema kesi haijatupwa ila kuna sehemu walikosea kuandika hivyo wanaruhusiwa kufanya marekebisho na kuifungua tena
Kwa hiyo hata kama hawana nia ya ya kufanya marekebisho, mahakama itaendelea kuwasubiri kwa kuhisi kuwa ipo siku moja watafanya marekebisho?Kuna mwanasheria nilimsikia anasema kesi haijatupwa ila kuna sehemu walikosea kuandika hivyo wanaruhusiwa kufanya marekebisho na kuifungua tena
Shauri zake mwache ajifanye mwamba siku ya kuanguka haijui. Amuulize Ndugai kilichomkuta.
Ifike mahali viongozi washenzi wawe wanashughulikiwa hapo hapo.
Huyu ndio anakuja laumu watu hawafuati utaratibu wakati yeye haeshimu katiba
Msiwenawapa watu uongozi kisa jinsia zao au dini zao angalie wanachofanya sasa siku huyu mama akapewa madaraka makubwa zaidi ya hayo nchi haitokuwa salama.
Uko ccm viongozi kama hawa nyie mnawaonaje wanaoidharau katiba ya nchi wazi wazi nyie binafsi hamuoni aibu hata kujishtukia.
Aisee inasikitisha sana unajua
Kachukue urithi wa bwana Hamza kwani mirathi so badoo.......!!!Hii kitu inaletaga heshima sana. Sema tu sina View attachment 2269632View attachment 2269632
Michongo yote inafanyika huko huko kwahiyo hawana wasiwasi watamaliza kipindi chao salama salimini labda wawape kiinua mgongo chao chote sasa hiviWabunge wa Viti Maalum, Salome Makamba na Grace Tendega wapo Bungeni, leo Alhamis Juni 23, 2022 na wameuliza maswali ya nyongeza baada ya kupewa fursa hiyo na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson.
Wabunge hao walifukuzwa uanachama CHADEMA na kesi waliyofungua kupinga kufukuzwa Mahakamani imetupwa na Mahakama Kuu Dar es Salaam.
Pia soma - Chadema yadai kwamba iliwasilisha Kwa Spika wa Bunge Taarifa ya Mdee na wenzake kushindwa kesi mara tu baada ya uamuzi wa Mahakama
Tujikumbushe Wabunge hao 19
Halima Mdee
Esther Matiko
Grace Tendega
Cecilia Pareso
Ester Bulaya
Agnes Lambart
Nusrat Hanje
Jesca Kishoa
Hawa Mwaifunga
Tunza Malapo
Asia Mohammed
Felister Njau
Naghenjwa Kaboyoka
Sophia Mwakagenda
Kunti Majala
Stella Flao
Anatropia Theonest
Salome Makamba
Conchesta Rwamlaza