Wabunge waliofukuzwa CHADEMA wapo Bungeni leo Juni 23, 2022, Spika kawaruhusu kuuliza maswali

Unaweza ukasema wanaipenda sana kazi kumbe ni njaa ndo inawaletea ujasiri wa kuwepo hapo tena wengine hapo wanawafuga waume zao nyumbani
Tarehe za mishahara serikalini hizi, wanavuta posho ya leo na mshahara wa mwezi huu tayari unasoma kwenye account.

Bongo kwenye swala la pesa lazima uwe kauzu, unadhani wanapenda warudi kwenye maisha mpaka uvuliwe chupi ndio upate pesa?
 
Naulizajee..!!!! Zile posho na marupurupu walizolipwa na wanazoendelea kuchukua watazirudisha!????
 
Kuwa na heshima,hao ni dada zetu,mambo ya chupi,yanahusu nini hapa.
 
Jana mahakama imewakataa lakini Leo ndani ya mjengo bado wanavimba, au mahakama bado haija wasilisha taarifa rasmi?
 
It's just a matter of time, watatoka tu...

Hakuna kilicho na mwanzo, kikawa hakina mwisho...

Asiye na mwanzo wala mwisho ni mmoja tu, Mungu muumba wa mbingu na nchi...!
 
Kosa siyo lao! Kama sikumsikia vibaya Mnyika alisema Mwanasheria wa Serikali ndiye anapaswa kuwasilisha barua kwa Spika kumweleza maamuzi yaliyofikiwa na Mahakama kuhusiana na hao C-19! Baada ya hapo ndiyo Spika atachukua maamuzi.
 
Naulizajee..!!!! Zile posho na marupurupu walizolipwa na wanazoendelea kuchukua watazirudisha!????
Hoja nzuri hiyo. Wakifukuzwa Rasmi, KESI ifunguliwe maana Kuna tetezi za KUGHUSHI nyaraka.

Ikithibitika mahakamani watarudisha pesa za walipa KODI. Amen
 
CCM NI JANGA LA TAIFA HILI
 
Walindwa na system
 
SIO YA MWISHO bado watacheza tu na vipengere vya kisheria.mahakimu wetu hawatafsiri sheria bali wanaziweka sheria kuwa ngumu zaidi.na hii ndo kete yao wanayotumia kuwalinda wahalifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…