Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
Endelea kuota.NCCR Mageuzi inarejea taratibu sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuota.NCCR Mageuzi inarejea taratibu sasa.
Sijui kwanini Lijualikali hajafukuzwa!CHADEMA ni chama makini sana!!
Moyo wangu umefarijika sana bado kubenea na lijualikaliSafi sana, lazima chama kiwe na msimamo na kuweza kutoa maamuzi magumu.
Okay covidiot
Tumia akili wewe,huoni kama walikuwa wanatoa kauli chafu.Kama ni kuwakilisha wananchi mbona Jafari Michael na Lijualikali wamebaki.Huu sio uamuzi halali na ni kuwaonea watu ambao walikuwa wanawawakilisha wananchi wao kihalali. Na kwa mantiki hii spika hawezi kukubali huu uhuni.
Kama CCM ilivyo ya kipuuzi na kishenzi na laana zao za Ben Sanane?Chama cha kipuuzi sana. Wana laana ya dr.slaa.
Kwa kuwa mnamuogopa. Hilo ni jabari!Maamuzi magumu ni mwenyekiti kukaa pembeni ili kukiokoa chama kinyume na hapo Ni bure tu
Napenda sana hiki chama manake kinajeuri ya kufanya jambo lolote kwani ni chama cha watu, kuna umati mkubwa nyuma ya CHADEMA. Haya yote yanakiimarisha CHAMA, naunga mkono kuenguliwa kwa wasaliti.Umeamka nao, loh! CHADEMA. CHADEMA inawahangaisha sana, what is your psychology behind CDM, you need psychological healing!
Kuandika kwenyewe hujui TUNAKUPUUZA!Chama cha ma mbumbumbu. Mnalazimisha Wabunge kutokwenda Bungeni kutuwakilisha Wapoga kura wao halafu mnajinasibu eti mna demokrasia. Chadema ni chama cha wahuni wachache tu hakuna demokrasia wala nini, ukipinganga na fikra za Mwenyekiti tu ni kosa la kufukuzwa uanachama
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana ya "wengi wape " ndo demokrasia yenyewe. Ukiondoa hiyo maana yake demokrasia itapoteza maana.Kama itakuwa ni kuwafukuza uanachama watu, hayo hayatakuwa maamuzi magumu. Tujifunze kukubali maamuzi yanayopingana na misimamo yetu. Sometimes hii ya “wengi wape” haina mantiki
Hao walishajiongeza wao wenyeweNaona wamepanga kuwaongezea NCCR wagombea!
Chadema haina mwongozo wala umoja, ni chama dhaifu sana chenye ugomvi wa ndani, hawana hata motisha wa kuwasaka waliompiga risasi Tundu, hawana uwezo wa kupingana na CCM.
They deserve the move taken. They are undisciplined.Ni makosa makubwa kuendelea kuamini kwenye maisha kwamba watu wote unaoweza kufanya nao urafiki wasiwe wasaliti, Eti watu wote ambao unaweza kujenga nao Chama kusiwemo wasaliti!! Huo ni Ujinga mkubwa...
Maamuzi ya wabunge wachache wa CHADEMA kumsaliti kiongozi wao ndiyo yamenishangaza, hakuna kilicho nichukiza.