Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Kabla ya 2015 CHADEMA ilikuwa taasisi ya umma ambayo ilikuwa inahamasisha umma mpaka CCM ikafikia kujivua magamba.

Lakini katikati ya 2015 CHADEMA iligeuka kuwa kampuni ya mtu binafsi ikiwa na lengo la kutimiza maagazio ya mmiliki wake tu.

Kwa hiyo kuhamasiha umma kukageuka kuwa ni kugoma, kuandamana na kufanya vurugu hata pale pasipokuwa na ulazima.
 
Umeamka nao, loh! CHADEMA. CHADEMA inawahangaisha sana, what is your psychology behind CDM, you need psychological healing!
Napenda sana hiki chama manake kinajeuri ya kufanya jambo lolote kwani ni chama cha watu, kuna umati mkubwa nyuma ya CHADEMA. Haya yote yanakiimarisha CHAMA, naunga mkono kuenguliwa kwa wasaliti.
 
Chadema haina mwongozo wala umoja, ni chama dhaifu sana chenye ugomvi wa ndani, hawana hata motisha wa kuwasaka waliompiga risasi Tundu, hawana uwezo wa kupingana na CCM.
 
Chama cha ma mbumbumbu. Mnalazimisha Wabunge kutokwenda Bungeni kutuwakilisha Wapoga kura wao halafu mnajinasibu eti mna demokrasia. Chadema ni chama cha wahuni wachache tu hakuna demokrasia wala nini, ukipinganga na fikra za Mwenyekiti tu ni kosa la kufukuzwa uanachama

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuandika kwenyewe hujui TUNAKUPUUZA!
 
Safi sana CHADEMA,
Ondoa chuya bakiza mchele.Hakuna haja ya kuwabeba mamluki wakati wa vita.
 
Ni makosa makubwa kuendelea kuamini kwenye maisha kwamba watu wote unaoweza kufanya nao urafiki wasiwe wasaliti, Eti watu wote ambao unaweza kujenga nao Chama kusiwemo wasaliti!! Huo ni Ujinga mkubwa...
They deserve the move taken. They are undisciplined.
 
Back
Top Bottom