Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Hicho chama kilishajifuta hakipo kabisa, kilishaoza na kubaki mifupa mifupa kabisa ndani ya kabuli.
 
Lwakatare anabwabwaja muda huu anataka kulia masikini wangemsamehe huyu jamanii wapunguze hii ni adhabu kali mno!!
 
Lwakatale kasema amevurugukiwa kweli kweli ameshindwa kusoma hotuba aliyokuwa ameandaa!!
 
Hawa lazima wataendelea kuwa wabunge kupitia Mahakama, Lazima watakwenda Mahakamani kupinga, mahakama itawasikiliza , itapigwa danadana hadi bunge linavunjwa
 
CDM wamepotoka kabisa

Ukimya ni adhabu pia, Mungu kuwakirimia wezi na wema si kwa bahati mbaya Bali ni kutaka kuwaambia wote ni wake
 
Wangetangaza kujiondoa kwenye uchaguzi mkuu kabisa ili waendelee kukaa karantini.
Hivi hii karantini si inabidi ukaripoti kwenye mamlaka husika zikuweke karantini pamoja na wengine au unajiweka mwenyewe nyumbani kwako? Wamekiuka kanuni za Karantini kama wapo majumbani mwao. Walitakiwa kuwa Hostel za Magufuli pale UDSM.

Pia napenda kumtia moyo Mh. Mkuu wa Mkoa kuwa anayo mamlaka ya kukamata raia yoyote ndani ya mkoa wake, ulio ndani ya JMT, kwa kosa la uzururaji provided raia huyo hayupo mahala pake pa kazi anapotakiwa kuwepo, hata kama angekuwa Rais wa Nchi!. Ni sheria ya JMT inasema hivyo
 
Kweli zama zinabadilika. Wabunge wa chadema hawatishiki kuvuliwa uanachama. Hivi kweli kile kipindi cha mbunge wa chadema kukimbilia mahakamani kuzuia kuvuliwa uanachama kitajirudia?
 
Back
Top Bottom