GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.
Yetu macho!
Mkuu acha wivu,awamu ya tano Tanzania imekuwa tajiri zaidi ya UKMtaendelea kufukuza mawaziri, hakuna viwanda mwisho ni kununua tu watu, uchumi umadumaa. CCM ni zaidi ya shetani
Wanachama tuko ngangari, umesikia nani kahamia zaidi ya hawa waganga njaa.Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.
Yetu macho!
Chadrama kwishney walahiMboye anaendelea kumbeba Mashinji tu Chama kinazidi kupotea kwenye ramani za kisiasa
Mkuu soma reply yangu hatua kwa hatua utanielewa vizuri mno,J
Jinga wewe,kwani jina la Baba yako ni ccm au Kitu kingine,chama hata mkeo anaweza anzisha issue ni unafiki umezidi.
Mwanaume huwa hatishwi kipopomaJe na hawa kama wakikaidi / wakidinda / wakikataa kuhamia huko wanakotakiwa kwenda, nao safari hii hawatotishiwa Kuchukuliwa kilazima na Malori mapya haya ya Jeshi kama kwa sakata la Korosho?
Mmmh Maybe......CCM tayari imekataa Maombi ya Lema, Zitto Na Sugu kurudi 'Uzalendoni''
Weka sawa kauli yako "wazito" hakuna wapinzani wepesi kwa taarifa yako ... .afu huo ni ushubwada tu kufuatilia team Kama zileKuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.
Yetu macho!
Onyesha ushahidCCM tayari imekataa Maombi ya Lema, Zitto Na Sugu kurudi 'Uzalendoni''
Mboye anaendelea kumbeba Mashinji tu Chama kinazidi kupotea kwenye ramani za kisiasa
Kinondoni au Ubungo?
Magufuli ni Rais mpumbavu kuliko kuwahi kutokeanaona Mwita amepewa nafasi makusudi ili kuwavutia wengine
Pato la Taifa linatumika kwa mambo ya hovyo hovyo hakuna viwanda wala maendeleo pesa zotee zinatumika kudumaza demokrasia kudhoofisha chadema na kuua upinzani, pesa inayotumika kwa mambo yasiyo na Tija kwa Taifa ni kubwa sana na endapo ingekuwa inatumika kuleta maendeleo Leo hii Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kiliko South Africa.Mtaendelea kufukuza mawaziri, hakuna viwanda mwisho ni kununua tu watu, uchumi umadumaa. CCM ni zaidi ya shetani
Endelea kuumia tu! Hata mgao wa ruzuku hupati lakini mapovu ya OMO!Kwa hizi movie za JPM, watu watabaki kuwashangaa tu maana kila siku ni afadhali ya jana.
Mkakati wake nini?Ubungo moja ya wilaya za kimkakati.