Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!

Najiuliza sipati picha. Sababu ni ufanisi.
 
Najiuliza sipati picha. Sababu ni ufanisi.
Miaka mingi imepita hakuna ufanisi ngoja na wengine wajaribu lakini na tahadhari kubwa ziwepo !!

Mara nyingi kwenye mikataba mikubwa kama hii ndipo kwenye abracadabra nyingi !

Sijajua kama wenye kuisimamia mikataba ya aina hii kwa upande wetu huwa wanajiridhisha kwa kupitia kipengele kimoja kimoja mpaka mwisho !!

Maana kidhungu nacho huwa kina maneno maneno yanayochanganya sana akili !!
 
Ukweli upi? Yaani wote hatujui mnaojua ukweli ni nyie?
Ukweli ni kwamba, kinachoongelewa siyo mkataba wa kuendesha, kukodi au kuuaza bandari. Kinachoingelewa ni mkataba wa maridhiano ya ushirikiano wa kimaendeleo baina ya nchi mbili.

Umeelewa?
 
Ukweli ni kwamba, kinachoongelewa siyo mkataba wa kuendesha, kukodi au kuuaza bandari. Kinachoingelewa ni mkataba wa maridhiano ya ushirikiano wa kimaendeleo baina ya nchi mbili.

Umeelewa?
Wewe Sasa ndio Bogus number moja! Naonaga una akili kidogo kumbe hata hizo kidogo huna! Mkisharidhiana what next? Umeona kilichomo hicho unachosema wanataka kuridhiana? Acha ujinga Faiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…