denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
You won't waste my time old lady!.Mkataba alioweka saini unahusu nini?
Halo sasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You won't waste my time old lady!.Mkataba alioweka saini unahusu nini?
Halo sasa!
Umemaliza kila kitu ! Kwa kinyamwezi You nailed it !🔨Kabisa, hakuna mbunge yoyote wa CCM wa kuzuia matakwa ya serikali. Nakumbuka walivyopitisha mkataba wa gas kwa hati ya dharura, kisha Magufuli alivyokuja akawa anaongea kwa sauti ya unyonge kuwa gas sio yetu imeshauzwa.
Hayo maneno yamesemwa na mtoa hoja mwenyewe sio mimi. Ndio maana nimekushauri pata clips yake uiskilize vizuri.Mkataba siyo wa utekelezaji, hakuna mkataba wa utekelezaji mpaka sasa, tusipotoshane.
Tena tumeshindwa vibayaBaada ya miaka yote hii iliyopita na pangua pangua yote ya wakurugenzi iliyofanyika na mambo bado ni yale yale!! Hii maana yake ni moja tu “ Tumeshindwa’. !!
Ewaaaaa hakuna jipyaKabisa, hakuna mbunge yoyote wa CCM wa kuzuia matakwa ya serikali. Nakumbuka walivyopitisha mkataba wa gas kwa hati ya dharura, kisha Magufuli alivyokuja akawa anaongea kwa sauti ya unyonge kuwa gas sio yetu imeshauzwa.
Kuna shida mahali wakajipange upya it's fishy by nowKuuzwa hakuna maana Bandari itabaki palepale ilipo isipokuwa managements zitabadilika !! Hapo kinachotafutwa ni mapato na ufanisi uongezeke maradufu !!
Wewe ni MTU mzima, usikubali kuwa mjinga Kila wakatiMkataba siyo wa utekelezaji, hakuna mkataba wa utekelezaji mpaka sasa, tusipotoshane.
Sasa kama hujui, Bado unabisha!Kinachijadiliwa bungeni ni nini? Tuanzie hapo, tusidanganyane.
AlhamduliLlah, nnakijuwa sana kinachojadiliwa, hilo ni swali nimemuuliza mtu kama wewe ambae anataka kupotosha ukweli.Sasa kama hujui, Bado unabisha!
Najiuliza sipati picha. Sababu ni ufanisi.Moja na vitu muhimu kabisa kwenye nchi yetu ni Bandari, kwa hiyo Wabunge wa CCM mkithubutu kuiuza bandari yetu kwa waarabu aisee hapatatosha, pelekeni ujumbe huu kwa Mwenyekiti na Katibu wenu mkuu wa chama mapemaa kwamba kinakwenda kunuka.
Suala la kisingizio cha ufanisi ni la kitoto, yaani mnashindwa kuendesha bandari kweli? kweli ? sasa kama Bandari inawashinda je hii nchi mtaifikisha wapi?
Yh ni angalizo la maana !!Kuna shida mahali wakajipange upya it's fishy by now
Miaka mingi imepita hakuna ufanisi ngoja na wengine wajaribu lakini na tahadhari kubwa ziwepo !!Najiuliza sipati picha. Sababu ni ufanisi.
Hakuna kontena ya kushuka masaa 12, hata iwe ni Break Bulk CargoTutegemee faida hizi:
1) kutoka uwiano wa masaa 12 ya sasa kulishusha kontena moja kutoka kwenye meli hadi kufikia uwiano wa saa 1 tu.
Kila mmoja na uelewa wake, una haki ya uelewa wako.Hakuna kontena ya kushuka masaa 12, hata iwe ni Break Bulk Cargo
Muda ni dakika 1 mpaka 4
Ukweli upi? Yaani wote hatujui mnaojua ukweli ni nyie?AlhamduliLlah, nnakijuwa sana kinachojadiliwa, hilo ni swali nimemuuliza mtu kama wewe ambae anataka kupotosha ukweli.
Ukweli ni kwamba, kinachoongelewa siyo mkataba wa kuendesha, kukodi au kuuaza bandari. Kinachoingelewa ni mkataba wa maridhiano ya ushirikiano wa kimaendeleo baina ya nchi mbili.Ukweli upi? Yaani wote hatujui mnaojua ukweli ni nyie?
Wewe Sasa ndio Bogus number moja! Naonaga una akili kidogo kumbe hata hizo kidogo huna! Mkisharidhiana what next? Umeona kilichomo hicho unachosema wanataka kuridhiana? Acha ujinga FaizaUkweli ni kwamba, kinachoongelewa siyo mkataba wa kuendesha, kukodi au kuuaza bandari. Kinachoingelewa ni mkataba wa maridhiano ya ushirikiano wa kimaendeleo baina ya nchi mbili.
Umeelewa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HAKUNA MPYA KWENYE BUNGE LA BIBI RANGO TUSUBIRI VILIO