Reginald mengi😁 wala uchagani hajulikani labda huko kwao machameNaona kilichofanya umaarufu wa kabila la kichaga upae sana sana ni Reginald Mengi, labda na kijijini kwao asilimia kubwa kuna maji, umeme, shule na hospital, ukilinganisha na vijiji vingine vya Tanzania, vinginevyo wachaga ni kama makabila mengine tu wajanja wachache wajinga wengi.. Vishu Mtata
Unatuelezea sana na sisi tupo hapa hapa tu😁Kahawa ni kilimo cha mara moja.
Na sasahivi wanang'oa kahawa, wanapanda migomba
Usiwawachukulie poa mkuu, vijana wa miaka ya 70,80 na 90 wengi wako njema. Shida ni hiki kizazi cha late 90's na buku bee. Ndio hao wavaa mabuti makubwa, waenda boda hovyo nk na hawatoki kama zamani.Naona kilichofanya umaarufu wa kabila la kichaga upae sana sana ni Reginald Mengi, labda na kijijini kwao asilimia kubwa kuna maji, umeme, shule na hospital, ukilinganisha na vijiji vingine vya Tanzania, vinginevyo wachaga ni kama makabila mengine tu wajanja wachache wajinga wengi.. Vishu Mtata
Ndio nilikua namwelewesha huyo jamaa anasema kua Wachaga hawawezi Kilimo nimeshangaa sanaKahawa ni kilimo cha mara moja.
Na sasahivi wanang'oa kahawa, wanapanda migomba
Kule rombo bado inalimwa Kuna mahali nilikuta center ya kuzalisha Miche ya kahawa, Kama wanazalisha Miche maana yake bado Kuna maeneo zinalimwaKahawa ni kilimo cha mara moja.
Na sasahivi wanang'oa kahawa, wanapanda migomba
Acha masihara wewe 😁 kibongo bongo kwenye top 10 ya matajiri, kati ya kina mo, bakhresa, gsm, baada ya Reginald Mengi kufariki, mtu gani mweusi unamwona nani pale 😁Reginald mengi😁 wala uchagani hajulikani labda huko kwao machame
Wapo wachaga madon mengi anasubiri , huyo mengi mwenyewe alikua ana lijua hilo , achana na hizo mambo za kwenye makaratasiAcha masihara wewe 😁 kibongo bongo kwenye top 10 ya matajiri, kati ya kina mo, bakhresa, gsm, baada ya Reginald Mengi kufariki, mtu gani mweusi unamwona nani pale 😁
Reginald Mengi alikua ni celebrity entrepreneur, matajiri wengine kama kina dewji, bakhresa, wamemzidi Mengi hela ila siwezi wa consider kama celebrity entrepreneurs sababu maisha yao yako private sana.
Kina niffer na vunja bei wanajitaidi kua celebrity entrepreneurs ila kipesa nawaona baado, Wana safari ndefu min -me
here we go.Katoro-Geita..... is loading...
Ukweli ni upi?Sio kweli
Nakudanganganya nini,? Njoo newala mjini,masasi mjini,mtwara mjini,mangaka,tunduru na songea Kuna wachaga gani wanaokimbiza?Unadanganya
Yani waache kwenda Nairobi na mombasa waje huko ili iweje?Nakudanganganya nini,? Njoo newala mjini,masasi mjini,mtwara mjini,mangaka,tunduru na songea Kuna wachaga gani wanaokimbiza?
Si mumedai kila sehemu wapo?Yani waache kwenda Nairobi na mombasa waje huko ili iweje?
Hivi kati ya korosho na hiyo Tanzanite ni kipi kinaliingizia taifa pato kubwa ?Utalii unaingiza mabilioni yakutosha na unaleta mnyororo wa thamani hata kwenye mazao ya chakula.
Bado madini ya Tanzanite madini pekee duniani.
Ni hii serikali ndio haina mipango thabiti, tungekuwa mbali sana.
Viwanda vya maji a.k.a viwanda vya chupiMwongezee hill water, KPI,
Wapo zaidi ya milioni 6 ni kabila latatu kwa idadi kubwa ya watu na ni kabila namba moja kwa udogo wa eneo mama , kuwa kila eneo lenye ulaji kipi kinachokushangaza?Si mumedai kila sehemu wapo?
Mkuu vipi msimu wa mbaazi ulikuacha salama msimu uliopita? Kuna mzee mmoja alikusanya mbaazi kwa bei ya 600 kwa kilo alikusanya kama tani 140 msimu uliopita akaweka stoo na akaja kuuza juzijuzi kwa bei ya 1400Nashukuru sana, mimi nilikuwa huko miaka kama miwili nyuma, kule Tandahimba na Nanjilinji kwenye ufuta ila kwa mwaka huu nimekula mtaji mkuu siwezi kununua hata robo gunia.
Kwahiyo wapo choka mbaya sana na wapo wenye mafanikioWapo zaidi ya milioni 6 ni kabila latatu kwa idadi kubwa ya watu na ni kabila namba moja kwa udogo wa eneo mama , kuwa kila eneo lenye ulaji kipi kinachokushangaza?
Wewe unaonaje mkuu?Kwahiyo wapo choka mbaya sana na wapo wenye mafanikio
Kwasababu umeleta takwimu kuwa ni kabila la tatu kwa ukubwa basi usishangae ni 20% tu wenye mafanikio ila wengine ni njaa tuWewe unaonaje mkuu?