Wachaga tupe siri na sisi wengine

Umoja wao ndio nguzo yao.., Sisi wengine ni wabinafsi sana, tamaduni zao ni kama waarabu vile ndo maana uwa hawafilisiki, kwao ni kawaida kaka kumpa dogo milion 80 akafanyie biashara, biashara ikikuwa nae atampa mtaji anaemfuata, yan hvo... Sisi wengine ubinafsi unatuponza sana aisee, Umimi mwingi ili tuabudiwe na wengine
 
Aisee kuna ukweli hapa.. nimefuatilia sana nikagundua na mengine mengi nikweli kuna gap kubwa mno na nila kihistoria
 
Ngoja nikupe mbinu moja cc tusiosoma tuliotumia miaka hiyo ambayo wachagga wengi wanaitumia. Ni ngumu Lakin ina matokeo.

Kabla ya chochote kuna vitu viwili vya kuzingatia.
Commitment na consistency.
"Without Commitment, you will never start and Without Consistency you will never finish"
Unakuwa na lengo la miaka 10 au mitano. Unajichorea raman yenye njia utakayopita. So unachukua milion 200 unaigawanya kwa mwaka then kwa mwez then kwa cku. Unakuja kugundua kwa cku ndani ya miaka kumi unatakiwa uweke labda kila cku elfu 20. So mzee unaanza kujibana kila cku elfu 20 inalala kwenye account ya malengo au ya riba. Miaka kumi sio mingi ghafla hii hapa mzee baba tayar una mtaji wa kuanzia. Along the way kuna kununua viwanja sio vya kuishi vya kuuza nk. That's how we start our life. Kikubwa mtu asijue njia zako wala usibadili mfumo wako wa maisha. Maisha ni siri. Hata huyu Mungu tunaemuabudu yupo sirini so siri ndio nguvu yako. Sali sana na sometimes toa kwa Mungu na wahitaji utaona tu milango inafunguka yenyewe. Na mabalaa utashangaa wengine wanayapata Lakin wewe huyapati. Nimekuambia siri ni muhimu coz hii Dunia kuna wachawi na ndugu wakijua una hela watakusumbua. Jichanganye popote na yeyote usichague mtu wa kuongea nae jipe muda wa kujifanyia taathimini kila miez 3 kama mipango inaenda au la. Mwisho ukijaliwa watoto waunganishe na shuguli zako. Mwisho jitahd usimdhulum mtu wala kumuibia mtu kwenye maisha yako kwaajili ya watoto wako. Ubarikiwe kwa kuomba ushauri. Mungu akubariki.
 
Uongo hawawez kuongea na jamii isiyo ya kichaga ,,eti mfipa ukakae kwenye vikao vya wachaga
 
Kuna mtu Anaweza waza kuwa hii imekaa kikabila Ila nasema hapana' kwa sauti kubwa kuwa Ukweli wa Mangi Ni noma Ni habari nyingne kwa tz na nje ya nchi. Sio sifa.
Nikuwa kwenye mkutano mmoja wa waisrael walio Fanikiwa kufanya shughuli za kilimo tz.
Mwizrael mmoja mbele ya mkutano akasema amezunguka tz na sehemu zingne Ila kabila ambalo aliona linaendeleza nchi Ni wachaga akasema bila wachagga tz Ingekuwa nchi ya ajabu na ukubwa wake , Ila chagga ndio wanaendeleza tz.
Yeye Kama yeye Anawapa salute , Respect wachagga.
Mwisho wa kunukuu....
Kwa wachagga hata wazungu wanawakubali🙌🙌
Mmoja wao akasema wao hua hawaachi mbegu zao nyuma Japo wadada Bongo...wanawashobokea Ila Ni marufuku hawaachi mbegu zao bongo' duuhi!! Hii Nayo nikaona Kama misifa tuu wanajiwekea!!!🤔🤔🤔
 
Duh kazi ipo
 
Bado unasumbuliwa na USHAMBA,tibawekeza popote hâta kule kwenu udigoni ndio maana ya akili kubwa lazma utembee popote kuangalia fursa zaidi,Wewe endelea kufungia akili kwenye kibuyu,Hao wahindi unaowaabudu Tanzania ni Kwao? Huoni wametoka Huko Kuja kutafuta fursa zaidi? Je Tanzanie ni tajiri kuliko Índia?
 
Bado unasumbuliwa na USHAMBA,tibawekeza popote hâta kule kwenu udigoni ndio maana ya akili kubwa lazma utembee popote kuangalia fursa zaidi,Wewe endelea kufungia akili kwenye kibuyu,Hao wahindi unaowaabudu Tanzania ni Kwao? Huoni wametoka Huko Kuja kutafuta fursa zaidi? Je Tanzanie ni tajiri kuliko Índia?
 
Unajitetea sana inaonekana una maisha magumu dogo ...Usipende kujitetea sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Jibu swali acha mbambamba, Wewe umewahi safiri abroad hâta Hapo Kenya tu? Tulia Dogo endelea kulima machungwa hapo handeni
 
Mkitaka siri za kua na wake 4 na wanajuana wote mtuambie wazaramo tumwage nondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…