Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Unajitetea sana inaonekana una maisha magumu dogo ...Usipende kujitetea sana 😂😂😂😂.Walishamuua mama Yako,dada Yako au shangazi Yako? Tuanzie hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajitetea sana inaonekana una maisha magumu dogo ...Usipende kujitetea sana 😂😂😂😂.Walishamuua mama Yako,dada Yako au shangazi Yako? Tuanzie hapo
Aisee kuna ukweli hapa.. nimefuatilia sana nikagundua na mengine mengi nikweli kuna gap kubwa mno na nila kihistoriaKawaida ya maskini lazma amchukie aliyefanikiwa badala ya kujifunza
Natáka kukupa facts zifuatazo juu ya wachaga
1:mkoa wao ndio mkoa WA KWANZA kiwa na shule nyingi za sekondar kuliko mkoa wowote Tanzania
2:mkoa wao Kilimanjaro ni mkoa WA pili kuwa na kiwango kidogo chá umaskini yaani Kilimanjaro maskini ni 10% tu kwa mujibu WA NBS
3:mkoa WA Kilimanjaro ni mkoa unaoongoza kwa miundombinu toshelezi vijijini kwa 90%(shule,zahanati, hospitals)
4:mkoa WA Kilimanjaro una história ya Elimu,watu wengi WA Kilimanjaro ni wasomi tangia kabla ya uhuru( i.e Dr nsilo swai,prof Gabriel mmari,prof Isaria Kimambo,Edwin mtei NK)
5:kampuni za makandarasi karibu 40% zinamikikiwa na Watu WA Kilimanjaro
6:kampuni za mabasi Karibu 40% zinamikikiwa na watu WA Kilimanjaro
7:watu WA Kilimanjaro wamesambaa nchi nzima na nje ya nchi kwa issue mbili tu Elimu au biashara
8:sekta nyeti zinapendwa n'a Hawa Jamaa,sio ajabu vyuoni ukawakuta kwa wingi Ktk Fani Hizi tehama, engineering,law, accountancy, business, kilimo,achtecture,NK, just imagine as now we speak,Fani ya upasuaji ubongo na Neva za fahamu inaitwa neurosurgery nchi nzima ina madaktari bingwa 9 tu , wanne kati yao ni Wachaga
9:watu WA Kilimanjaro wanathamini mno nyumbani Kwao,ni kawaida kukuta majumba ya kisasa vijijini ambayo hâta mikocheni hayapo
10:ni wapenda dini hasa ukatoliki(60%) na uluteri 30%) Kilimanjaro makanisa ni ya kisasa kabisa vijijin
Kuthibitisha Hilo,Baraza la maaskofu katoliki Lina majibo 34, maaskofu kutoka Kilimanjaro pekee ni 12 HII inathibitisha walivyo aware na dini.
Ngoja nikupe mbinu moja cc tusiosoma tuliotumia miaka hiyo ambayo wachagga wengi wanaitumia. Ni ngumu Lakin ina matokeo.Hellow africa
Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu 🙄🙄🙄
Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa mengi sana af magar ya hela nyingi
😄 😄Wivu wako na chuki binafsi dhidi ya akina Mangi, kibwengo kama ww toka lini akawa na mawazo chanya!
NIMONA WATU WATANO MPAKA SASAWalishamuua mama Yako,dada Yako au shangazi Yako? Tuanzie hapo
Uongo hawawez kuongea na jamii isiyo ya kichaga ,,eti mfipa ukakae kwenye vikao vya wachagakama una rafiki mchaga...muombe,mlilie December akiwa anaenda kwao na ww uende hata kwa gharama zako uone wanapokutana,majadiliano,mazungumzo,Target ktk biashara ndani ya mwaka mzima,ukifanikiwa kusikiliza tu amini nakwambia ukirudi utakua mpya kama upo sirias na maisha kuna kitu utakua umeongeza
Na Nandi alitumia mbinu gani kumnasa RP boss wa mawingu,?Noeli Mushi asitoe mbinu, mbinu zake akae nazo mwenyewe
Muke ya mzungu ndo huyu kumbe.
Ahahaha umeongea kbsa aiseeHatuli hata pipi dukani..aiseee
Duh kazi ipoKuna mtu Anaweza waza kuwa hii imekaa kikabila Ila nasema hapana' kwa sauti kubwa kuwa Ukweli wa Mangi Ni noma Ni habari nyingne kwa tz na nje ya nchi. Sio sifa.
Nikuwa kwenye mkutano mmoja wa waisrael walio Fanikiwa kufanya shughuli za kilimo tz.
Mwizrael mmoja mbele ya mkutano akasema amezunguka tz na sehemu zingne Ila kabila ambalo aliona linaendeleza nchi Ni wachaga akasema bila wachagga tz Ingekuwa nchi ya ajabu na ukubwa wake , Ila chagga ndio wanaendeleza tz.
Yeye Kama yeye Anawapa salute , Respect wachagga.
Mwisho wa kunukuu....
Kwa wachagga hata wazungu wanawakubali[emoji119][emoji119]
Mmoja wao akasema wao hua hawaachi mbegu zao nyuma Japo wadada Bongo...wanawashobokea Ila Ni marufuku hawaachi mbegu zao bongo' duuhi!! Hii Nayo nikaona Kama misifa tuu wanajiwekea!!![emoji848][emoji848][emoji848]
Kumbe ushalingamua ilo na wewe mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa kafungua uzi wajisifie[emoji23]Wanasema, tafuta hela
Kukopa sio issue,hâta uchina na usa zina madeniNina maisha kuliko ndugu zako wanaonikopa hapa ..
Bado unasumbuliwa na USHAMBA,tibawekeza popote hâta kule kwenu udigoni ndio maana ya akili kubwa lazma utembee popote kuangalia fursa zaidi,Wewe endelea kufungia akili kwenye kibuyu,Hao wahindi unaowaabudu Tanzania ni Kwao? Huoni wametoka Huko Kuja kutafuta fursa zaidi? Je Tanzanie ni tajiri kuliko Índia?Mo na bakhera ni matajiri sio nyie wachuuzi ndani ya nchi yetu wanaongoza wahindi na waarabu nyie kelele tu...Natambua matajiri ni wahindi na waraabu nyie wengine wachuuzi na kelele plus utapeli na wizi[emoji23][emoji23][emoji23].
Mkisemwa eti chuki mara ngapi mnatusema tupo kimya...Kaeni kwenu msije mikoa ya watu .
Bado unasumbuliwa na USHAMBA,tibawekeza popote hâta kule kwenu udigoni ndio maana ya akili kubwa lazma utembee popote kuangalia fursa zaidi,Wewe endelea kufungia akili kwenye kibuyu,Hao wahindi unaowaabudu Tanzania ni Kwao? Huoni wametoka Huko Kuja kutafuta fursa zaidi? Je Tanzanie ni tajiri kuliko Índia?Mo na bakhera ni matajiri sio nyie wachuuzi ndani ya nchi yetu wanaongoza wahindi na waarabu nyie kelele tu...Natambua matajiri ni wahindi na waraabu nyie wengine wachuuzi na kelele plus utapeli na wizi[emoji23][emoji23][emoji23].
Mkisemwa eti chuki mara ngapi mnatusema tupo kimya...Kaeni kwenu msije mikoa ya watu .
Angalia na mkopo bank upo na zaidi ya mil 100 then ukope sijui laki 4 ya nn sasa kama sio utapeli?Kukopa sio issue,hâta uchina na usa zina madeni
Jibu swali acha mbambamba, Wewe umewahi safiri abroad hâta Hapo Kenya tu? Tulia Dogo endelea kulima machungwa hapo handeniUnajitetea sana inaonekana una maisha magumu dogo ...Usipende kujitetea sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].