Wachaga tupe siri na sisi wengine

Wachaga tupe siri na sisi wengine

Kisaikolojia nimegundua unasumbuliwa na wivu na chuki
Hivi kukopa ni jambo la aibu? Kina bakhresa,mo não Wana mikopo ya hatari
Serikali yenyewe inadaiwa ma trillion acha USHAMBA kukopa sio ujinga,kwanza kukopa means una uwezo WA kurejesha
Lakini tofauti ni kwamba bakressa hakipo laki mbili
 
Nilichogundua humu duniani, Ni ngumu mtu kukupa chimbo la sehemu wanakotafutia pesa , na hata akikwambia hatakufafanulia. Hii ndo inafanya matajiri wawe wachache humu duniani, mtu atakwambia Nina restaurant, lakini mbinu anayotumia kupata wateja hapo kwenye restaurant hawezi kwambia katu. So usitegemee hata hao wachaga kwamba watakuja hapa kumwaga madini.
Nyota tu unaweza ambiwa abc za biashara na still ikakushinda
 
Je kwanini wapare nao wanaitwa wachagga! wapare kwasababu sio waongeaji watu wengi wanafikiri ni wa chagga. Hata Nandy na Lulu watu wanawaita wachagga wakati wote ni wa pare.
Wanafanana sana ni kama wazaramo na wandengereko au wakwere
Alafu mpare ata aseme yeye ni mpare watu hawamuelewi
 
1.Tafuta orodha ya walifutwa kazi kwa sbb ya vyeti feki
2.Ushirikiana upo, na ndio maana kuna mataaira ya kutosha huko kwenu
3.Kabila la wenye mali nyingi nchi hii ni wahindi
Kama mambo ni marahisi hivyo na makabila mengine waloge na wao wawe matajiri

Jiulize kwanin wafipa wa sumbawanga ni wachawi sana ila sio matajiri mambo sio marahisi kama unavyofikiri
 
Nilichogundua humu duniani, Ni ngumu mtu kukupa chimbo la sehemu wanakotafutia pesa , na hata akikwambia hatakufafanulia. Hii ndo inafanya matajiri wawe wachache humu duniani, mtu atakwambia Nina restaurant, lakini mbinu anayotumia kupata wateja hapo kwenye restaurant hawezi kwambia katu. So usitegemee hata hao wachaga kwamba watakuja hapa kumwaga madini.
Watanzania mnachekesha kweli kweli. Yaani wewe unataka ukae kwenye kiti cha sofa nyumbani halafu uletelewe mbinu zote za kusaka fedha? Kama kwa mfano unataka kujua mbinu za kuendesha restaurant basi ni kiasi cha kutafuta kazi restaurant na kufanya huku ukijifunza. Kwa taarifa kufanya biashara ni kipaji + uvumilivu na ubunifu wa mtu. Tatizo siyo kujua mbinu za kufanya biashara bali kuzi-apply zile mbinu.
 
Nyie ndo mna kelele sana mitandaoni kwa kweli tofauti na wengine.

Nenda Arusha kila mtu anaitwa billionea..Nimeishi na kusoma na waarabu ,wagunya na wasomali hawa watu very humble huwezi kufananisha na nyie moja ya rafiki yangu huyu nimesoma nae shule ya Government ila baba yake alikuwa na pesa mbaya miaka hyo mpaka anaendesha biashara na wana undugu wa karibu na Bakhressa..Pesa wanazo ila anaishi kawaida hata accounts za social media hana

Nafanya kazi na baadhi ya vijana wa huko bado wana ulimbukeni wa kuvimba unaweza kucheka[emoji23][emoji23] yupo mmoja hapa kuvimba kote alishawahi kutaka kunikopa na ni pesa ndo ila nilishtuka atakuwa tapeli maana ile pesa ni mara 6 ya mshahara yaani ndogo sana ila nikashangaa eti ananikopa kama sio utapeli ...Kama kununua magari kawaida sana wala sio kuwa na pesa wapo madalali wanabadili tu daily ...

ukifika huko utasikia neno "nina mahela"

Wachaga matajiri wapo wengi ila sio wa media katika media wachaga wengi ndo wanavimba haswa madogo .

unawajua hapa jf wengi weny kelele pesa hawana maana wanajitetea sana kama unabisha angalia uchumi wa nchi umeshikwa na kina nan ? wao wapo kimya .!

Halafu magari ni gharama wengine wanayo ila wanaweza mwezi wakapanda mwendokasi wakayaacha..
Apa jf wenye zaidi ya mil 100 kwenye account awafiki 10
 
Sasa matajiri ni wahindi mbona kweny vitabu mnalialia kwamba wanapendelewa ulishawahi kuona wahindi choka mbaya hapa bongo ?

Ulishawahu kuona mgogoro wa mali baada ya tajiri wa kihindi kufa?

Wahindi ndo namba moja waliobaki ni wachuuzi .!

Wahindi na sisi wa pwani sio washamba na pesa hatuna ushamba nazo hata tukiwa nazo tunaishi normal Mfano wahindi wanawatumia baadhi ya wabongo kweny kampuni na kupiga dili then wapo wanashika pesa ndefu na wanaishi kawaida wapo mbali na mitandao ila nyie 😂😂ushamba mzigo kuvaa tu matatizo
Wewe chuki zako kwa wachaga zinazidi kukufanya uendelee kuwa fukara. Utatumia muda mwingi kuomba waanguke lakini kama ujuavyo dua la kuku.... Kipindi cha Magufuli kuna watu walikuwa wanajitapa kuwa wachaga wanakomeshwa... kiko wapi? Tatuta na wewe upate acha kuishi kwa kijiba cha roho....
 
Mo na bakhera ni matajiri sio nyie wachuuzi ndani ya nchi yetu wanaongoza wahindi na waarabu nyie kelele tu...Natambua matajiri ni wahindi na waraabu nyie wengine wachuuzi na kelele plus utapeli na wizi😂😂😂.

Mkisemwa eti chuki mara ngapi mnatusema tupo kimya...Kaeni kwenu msije mikoa ya watu .
Umechelewa kuwazuia! Wameshaenea kila sehemu. Kama ni wizi na utapeli kwa nini na wewe usifanye? Ohooo.. nimesahu. Kumbe wewe ni mtume na mambo hayo ni mwiko kwako kufanya.
 
Wewe chuki zako kwa wachaga zinazidi kukufanya uendelee kuwa fukara. Utatumia muda mwingi kuomba waanguke lakini kama ujuavyo dua la kuku.... Kipindi cha Magufuli kuna watu walikuwa wanajitapa kuwa wachaga wanakomeshwa... kiko wapi? Tatuta na wewe upate acha kuishi kwa kijiba cha roho....
Chuki zip jamani tukisema mnasema ni chuki?

Eti Magufuli awachukie nn wakati wakina Manji wasemeje ? huwaga sipendi kubishana na washamba hamna hoja eti mnachukiwa kwa lip na hayo mafaniko ni yapi ?

Hata waarabu sina shobo nao kama hujui na ndo matajiri nyie wachuuzi kelele kibao😂😂
 
Umechelewa kuwazuia! Wameshaenea kila sehemu. Kama ni wizi na utapeli kwa nini na wewe usifanye? Ohooo.. nimesahu. Kumbe wewe ni mtume na mambo hayo ni mwiko kwako kufanya.
jamani Mo na Bakhresa hata mtoto anajua ndo matajiri hao wengine siwafahamu😂😂
 
Chuki zip jamani tukisema mnasema ni chuki?

Eti Magufuli awachukie nn wakati wakina Manji wasemeje ? huwaga sipendi kubishana na washamba hamna hoja eti mnachukiwa kwa lip na hayo mafaniko ni yapi ?

Hata waarabu sina shobo nao kama hujui na ndo matajiri nyie wachuuzi kelele kibao😂😂
Utaenelea kulala kwenye vibanda hasara mapaka na wajukuu zako. Fanya kazi acha kuombea wengine mabaya.
 
Back
Top Bottom