Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wanapozungumza huwa wanakaa mkao fulani hivi wa kuonesha umuhimu wao.Siku hizi kuna double pivot....huwa nacheka mno nikisikia hii
😂😂😂 Kazi kwelikweliWanapozungumza huwa wanakaa mkao fulani hivi wa kuonesha umuhimu wao.
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!'Scenario'
Ukute wapo wima wakati wanaelezea na zile suti zao sasa. Kama wanacheza segere la kizaramo. Wanayumba yumba tu.'half-space..'
Wanatumia nguvu kubwa sana kuongea lugha ambayo dhahiri shayiri, inaonekana hawaiwezi. Hata kama wanaiweza inasaidia ni kwa watazamaji wengi ambao ni watumiaji wakubwa wa Kiswahili?Hii ni moja ya sababu za mimi kuacha kusikiliza vipindi vya michezo
Mimi kama ni mechi kubwa let's say Simba na Yanga ama yale mashindano ya AFCON huwa nabonyeza audio pale nabadilisha lugha. Kwa maana yaani hata kutangaza mpira kwa ufasaha wa kiswahili hawawezi wanaruka ruka tu na masimulizi hadi ya ukoo anakotoka mchezaji mara ni nne kuzaliwa mara wanakusimilia kwanini anavaa jezi imeandikwa Jr ama jina la mama....bila kufahamu kuwa kutangaza kunaendana na kuchambua mchezo husika na sio mambo yasiyo husianaHii ni moja ya sababu za mimi kuacha kusikiliza vipindi vya michezo
Wamesahau kusema kulenga lango ama kupiga nje ya lango!!!Kuna hili la off target na on target
Jongo na Nkamia walitangaza na kuchambua kwa kutumia lugha ipiManeno ya kiswahili ni machache sana
Lete la kiingereza lisilo na kiswahili chake ama lisilotoholeka. Goli (Goal) Golikipa (Gaolkeeper) Kona (Conner) Jezi (Jesey). Kama hayo yaliwezekana, hayo mengine inashindikana vipi?Maneno ya kiswahili ni machache sana
Mtu anayechanganya Lugha bila ya sababu, hajui hizo lugha zote mbili bali alizikariri'Code mix hizo na chanzo chake kikubwa ni kuto kuwa na lugha moja ya mawasiliano na kujifunzia hasa wakati wanasoma mashuleni kwahyo inapelekea mtu kuwa affected wakati wakutumia lugha kwahyo usiwalamu bari toa lawama kweny mfumo wako wa elimu na lugha ndio kweny Tatizo