Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ulimfanya nini....hahahaNdio maana nimesema hapo Hawa wanaojiita manabii ni sawa na hao waganga,
Wachungaji wa kweli wapo na wahuni wapo
Waganga na wachawi ni wamoja
Binafsi wachawi na waganga wananiogopa sana
Nimetoka juzi tu hapa kumkomesha mama mmoja ni mchawi ,nilipanga nyumba yake bila kujua kama ni mchawi, madalali waliniingiza chaka ,
nikasema siwezi kumkimbia mchawi ,yeye ndiye anikimbie, mkataba wa miezi minne, cha ajabu kanirudishia pesa yangu nihame ,maana kipigo alichokuwa anakutana nacho ni Siri yake
Huyo Sio mchawi, mchawi hamuingii mtu msafi Kwel Kwel sio ww mpiga nyeto na mzinifuNdio maana nimesema hapo Hawa wanaojiita manabii ni sawa na hao waganga,
Wachungaji wa kweli wapo na wahuni wapo
Waganga na wachawi ni wamoja
Binafsi wachawi na waganga wananiogopa sana
Nimetoka juzi tu hapa kumkomesha mama mmoja ni mchawi ,nilipanga nyumba yake bila kujua kama ni mchawi, madalali waliniingiza chaka ,
nikasema siwezi kumkimbia mchawi ,yeye ndiye anikimbie, mkataba wa miezi minne, cha ajabu kanirudishia pesa yangu nihame ,maana kipigo alichokuwa anakutana nacho ni Siri yake
Mbona una hasira sana?Huna ujualo kwenye hii dunia hao wazungu tu wanaita waganga ww mlokole wa kyera utaniambia nn
Ndo tunakichoma
Hupati MTU hapaa broHuna ujualo kwenye hii dunia hao wazungu tu wanaita waganga ww mlokole wa kyera utaniambia nn
Hii Dunia wasio na exposure ndo ufa mapema kusema mipango ya mungu kumbe wapo kariakoo kuvuta wateja kwenye maduka ya wahindi.Mbona una hasira sana?
Hao wachawi wanazinguana tuu, usipokuwa mshirikina hayo madudu hayaji kwako.Pole sana mkuu haya mambo yapo sana .
Pole sana na hongera kwa ugunduzi huo naami utakuwa umewashinda
Huna ujualo kijanaUchawi ni roho. Roho haiungui mkuu 😄
SawaHuyo Sio mchawi, mchawi hamuingii mtu msafi Kwel Kwel sio ww mpiga nyeto na mzinifu
Hayaji au hujui kama yapo tu? Na utajuaje kama yapo na uzunguki?Hao wachawi wanazinguana tuu, usipokuwa mshirikina hayo madudu hayaji kwako.
Roho inaunguzwa na moto wa kiberiti?Huna ujualo kijana
Mungu anaposema atakuchoma moto huko jehanam anakua anachoma mishikaki Yako au roho?Roho inaunguzwa na moto wa kiberiti?
Hakuna roho inayoweza kuungua. Hakuna Mungu mchoma moto.Mungu anaposema atakuchoma moto huko jehanam anakua anachoma mishikaki Yako au roho?
Wewe ni dini Gani? Kwa waislamu Mungu anasema anachoma moto wenye dhambi siku ya kiama na Kwa wakristo ndo hvohvo anasema anachoma moto, ww unaebisha maneno ya Mungu ni dini Gani? Kama mpagani sawa lakn kama kobaz au kafiri basi huijui dini Yako kajifunze upyaHakuna roho inayoweza kuungua. Hakuna Mungu mchoma moto.
Wewe ni dini Gani? Kwa waislamu Mungu anasema anachoma moto wenye dhambi siku ya kiama na Kwa wakristo ndo hvohvo anasema anachoma moto, ww unaebisha maneno ya Mungu ni dini Gani? Kama mpagani sawa lakn kama kobaz au kafiri basi huijui dini Yako kajifunze upya
Ukienda kwa MWAMPOSA ni Mara 1000 kuliko kwenda kwa WAGANGA.Amekuja nacho mganga hiko mkuu usiogope.