joshua siao
Senior Member
- Jun 3, 2017
- 174
- 100
Poa tafuta ndimu na damu mbichi vifunge kwenye kitambaa cheusi kisha nuizia huku ukiwa umening'iniza kwenye moto wa kuniNipe hirizi asiniambukize uwanga wake
Unaweza Tengeneza Bomu la Nyuklia Pasipo Wew KujuaPoa tafuta ndimu na damu mbichi vifunge kwenye kitambaa cheusi kisha nuizia huku ukiwa umening'iniza kwenye moto wa kuni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uchawi ni ugurugaji,
Kwa hiyo ninyi ndo mnowavuruga wabunge wawapo mjengoni wasisimamie haki za wengine, mmewavuruga kias kwamba kila wanoletewa wao wanajikuta wakigonga meza tu na kupiga vigelegele,
Natafuta wakili msomi tukawafungulie mashtaka kotini ili sheria ichukue mkondo wake,
Mkuu Hawa watu si wakuaacha salama, wametuharibia bunge letu tukufu,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna kutafakari yaani, kila kitu ni kugonga meza tu na vigeregere!
Mkuu acha kuichafua Sumbawanga bhana. Haya mambo siku hizi yametapakaa kote duniani. Bahati mbaya hakuna takwimu zinazoonyesha ni wapi panaongoza.Uchawi sio chama kama kilivyo FREE MASON huku ukitaka kujiunga chakwanza lazima uje kwangu SUMBAWANGA ndo takupa accessories zote na utakuwa konkodi
Nasie wanga tukutane basiWachawi wa kwanza kutumia tecno. Nawaona.