Wachina wamejipiga pini kwenye vita ya ushuru, Soko kubwa dunia nzima lipo Marekani

Trump haendi jela!

Lawfare iliwatokea puani.

Wakitaka waendelee kushindwa, basi waendekeze tena hizo lawfare za ki banana republic kama akina Samia na CCM dhidi ya Tundu Lissu.
 

 
2019 Republicans hawaipati White House. Si kwa tariffs hizi. Watu washaanza kuongelea Christmas itakavyokuwa mbaya.

Wamarekani wanamchagua rais halafu anapata burden of incumbency halafu wanamuondoa.

Ndiyo maana hata Trump mara ya pili alishindwa na Biden. Na Biden/Democrats wakaondolewa hivyo hivyo.

Republicans wataondolewa hivyo hivyo wapiga kura wa Marekani independents wanaobadilika kila mara ni wengi sana, na hawa wajinga wengi rais yeyote anayekuwa nadarakani wanaona makosa yake hata kama si yake (kwa sababu ndiye rais) ukija ichaguzi wanataka mabadiliko tu.
 
China bado ni mtengenezaji na mtundu wa bidhaa rahisi na wakati mwingine zilizo bora sana na kwa Bei nafuu. Nchi zingine Bei ya bidhaa zao ni ghali sana. Pili, China Ina soko la ndani la watu bilioni 1:4, asilimia karibu 20 ya watu wote duniani iko china., jumlisha na soko la Africa na Asia China Ina soko la asilimia karibu 50 ya watu duniani. Angalau China wana ubavu wa kumkoromea Mmarekani. Sisi wamatumbi wa bongo tungemlamba miguu tu.
 
Buy, sticker, at the opening of the market. C'mon maan.
I know. But, kwa muda mrefu sasa jamaa huwa anasaini kwa initials zake za DJT.

Hapo ni ngumu kumbananisha maana ana built-in defense ya kwamba hayo ni majina yake.
 
Ikiwa Marekani inachangia 13% tu ya China's total exports

Hizo 87% zilizobaki China inaiuzia mataifa gani?

Kwenye GDP ya China mauzo ya China kwenda Marekani ni sawa na 3% tu ya GDP ya China

Hizo 97% zilizobaki China inategemea masoko gani?

China kulipoteza soko la Marekani wala haitaathiri uchumi wake

Ila Wamarekani wanategemea 60%-65% ya foodstuffs na agricultural products soko la China na sasa China imeigeukia Brazil imeachana na Marekani
​
 
We endelea kuota kama China anategemea US kwenye soko mimi naona US atajuta kucheza na China siku zitaongea.
Pia, Trump ana face pressure ya Wamarekani wengi sana aache kujimwambafy bila strategy ya kueleweka, mpaka ma Republicans na ma prominent CEOs wa Wall St banks wanasema nchi na dunia inaweza kwenda kwenye recession.

Mfano mmoja ni Jamie Dimon wa JP Morgan Chase, one of the top US banks.

 
B
Bila kusahau Americans wengi watakosa ajira na wamekosa ajira tayari kwa Trump Kufunga mashirika mengi ndani ya nchi yake na yanayifadhiliwa na nchi yake. Upinzani ndani ya Marekani kupinga sera za kibabe za Trump ni mkubwa.
 
B

Bila kusahau Americans wengi watakosa ajira na wamekosa ajira tayari kwa Trump Kufunga mashirika mengi ndani ya nchi yake na yanayifadhiliwa na nchi yake. Upinzani ndani ya Marekani kupinga sera za kibabe za Trump ni mkubwa.
Umesema vyema

Trump kwa sasa kisiasa kashapoteana amepanick sana, kiangalia post zake kwenye socials utaelewa

Ushindi pekee wa Trump ni ikiwa angeweza kurudisha manufacturing Marekani

Ila hizi tariffs hazina msaada wowote kwenye uchumi wa Marekani
​
 
Wamarekani wamechoka na sera za Democrats kuingiza wanaume kwenye michezo ya watoto wao wa kike, wataichagua Republican

Wamarekani wamechoka na sera za kibaguzi za Democrats DEI kujaza watu kwa kigezo cha rangi, lgb, n.k. hata wanapokuwa hawana sifa kamilifu, watachagua Republicans

Wamarekani wamechoka sera za Democrats kufungua mipaka kuingiza makumi ya mamilioni ya illegal immigrants, watachagua republicans

Wamarekani wamechoshwa na marais wanaocheat kwenye kampeni wanaoeditiwa interviews, watachagua republicans

Wamarekani wamechoka mamia ya mabilioni ya dola ya kodi zao kutumika kutatua matatizo ya nchi zingine kuzidi wao, watachagua Republicans

Wamarekani wamechoshwa na mambo ya jinsia mpya kila kukicha, watachagua republicans

NA HAITAKUWA MARA YA KWANZA, REAGAN ALIPOMALIZA URAIS BUSH ALIUNGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…