Wachina wamejipiga pini kwenye vita ya ushuru, Soko kubwa dunia nzima lipo Marekani

Hii imeandikwa kishabiki zaidi kuliko facts;
Ni kweli uhusiano wa kibiara katika ya USA na China hauko balanced [dola bilioni 440 kwa dola bilioni 145], lakini haina maana USA ana added advantage kulipoteza soko la MCHINA, Kuna makampuni mengine ya MAREKANI including Apple wana outsource baadhi ya spear kutoka China kwa sababu ya skills na cost, watchina wako highly skilled, efficient, qualuty, quantity na gharama nafuu kulinganisha na nchi nyingi duniani. Hii supply Chain ina athari kubwa pia kwenye uzalishaji wa baadhi ya makampuni makubwa Marekani na ajira za Wamarekani.

Pili China ni ya pili baada ya Japan kwa kuwekeza/kuikopesha Marekani kupitia bonds/treasury bills hivyo Kuna athari ikiwa wata weaponize hili wanaweza kuathiri uchumi wa USA.

Tatu Marekani alivyoliendea hili sii kiungwana, ni kama kichaa maana ni zaidi ya nchi 90 duniani, lakini pia Mchina ameonesha restraint na maturity.... Kuna baadhi ya nchi including za Ulaya bado hawako tayari kumpa kisogo Mchina.

Rejea ziara ya Waziri Mkuu wa Hispania lakini pia Mkutano wa pili wa EU leaders na China utakaofanyika July jijini Beijing.

My Take; Hii vita ya kiuchumi tunaweza kushuhudia yafuatayo:-
1. Kushuka kwa imani ya mataifa mengi dhidi ya USA hali ambayo itashusha hadhi ya DOLLA na Utawala wa uchumi wa USA duniani.
2. Nchi nyingi hawatakubali kuwa USA kama sole trade partner na badala yake watafanya diversification including kuboresha mahusiano na China.
3. Tunaweza kushuhudia USA akitengwa zaidi duniani hali ambayo itapelekea kuanza kwa safari ya kuhitimika kwa ukiranja wa Marekani duniani... kumbuka mpaka nchi washirika wameanza kujiuliza ikiwa F-35 hazina kill switch, Canada wameachana na mpango wa kuzinunua na nyingine wanafikia plan B, Canada anavutika zaidi kujiweka karibu zaidi na Ulaya kuliko Marekani, nchi za Ulaya wanaongeza defence budgets kuondokana na overdepence kwa USA.

Yote haya ni hasi zaidi kwa USA kuliko kwa China na Nchi zingine duniani....

Amani usiamini baada ya hii vita kuisha ya kiuchumi hali haitakuwa kama ilivyokuwa zamani...

 
China ni kiwanda cha dunia
 
Marekani analenga asilimia ngapi kutoka China? Ni only 0.7 percent
 
Umewawakilisha vyema wanawake πŸ‘πŸ‘
 
Ni kwa sababu ya dollar yake pia usa natumia sana kuliko uwezo wake na ndio maana anakopa sana . Pia usa inaweza kuprint dollar na zikagombaniwa dunia na asipate athari yoyote
 
Huruma hakuwaonea penguins awaonee wa tz πŸ˜€πŸ˜€ (joke)

Ulitaka upeleke bidhaa bure bila ushuru?
Tanzania mnatoza asilimia ngapi kwa bidhaa ya Us.
Mkuu kuuliza sisi tunatoza asilimia ngapi ni kutuonea pia, maana mmarekani akiamua tusimtoze chochote anaweza.

Hizo asilimia tulizomuwekea ni basi tu isionekana anaingilia mamlaka ya nchi zetu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
China anauza Marekani takribani Dola bilioni 500 huku Marekani ikiuza china Only dollar bilioni 140 pekee unaona trade deficit hapo?
Makampuni ya Marekani yanatumia China kuzalisha bidhaa.

If they take away manufacturing from China, China itaumia zaidi
 
Hii italeta athari ya kushuka kwa bei ya bidhaa hasa za kilimo tunazopeleka huko
 
View attachment 3301425

Trump akisubiria simu ya Xi wanegotiate ​
I like this.

Kwa walioona, utawala wa Trump una lugha mbaya sana ya dharau, ubabe na udhalilishaji kwa mataifa mengine na viongozi wao.

Kwa walioshuhudia udhalilishaji aliofanyiwa Zelenskyy pale White House na kejeli zinazoendelea kutolewa na Trump, Musk, Vance na Hegseth dhidi ya EU, Canada, Mexico, na Denmark wataelewa (wakipenda). Dunia imeshuhudia.

Kwa China, Trump ameamsha zimwi la Mao Zedong! Xi aliingia madarakani kuhakikisha China inasimama kama super power, isidharauliwe na Marekani kwa vile tu imekubali uchumi wa soko na biashara huria (free trade).

Xi ni muumin wa Mao kiasi chake. China imeshatahadharisha utawala wa Trump kuwa HAITAKI DHARAU. Trump atasubiri sana simu ya Xi. Xi hana kikwazo cha opinion polls. Wala Hana uchaguzi unaomkabili. Tuone. Who will blink first.
 
Mkuu kuuliza sisi tunatoza asilimia ngapi ni kutuonea pia, maana mmarekani akiamua tusimtoze chochote anaweza.

Hizo asilimia tulizomuwekea ni basi tu isionekana anaingilia mamlaka ya nchi zetu πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahaaa sisi na wale penguins kibiashara na US tuko sawa sawaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…