Merikiori vicent lukanga
Member
- Sep 11, 2024
- 9
- 10
Ndio maana anaitwa mama ,sasa mzee mbowe hataki aitwe mzee🙆♂️🙆♂️Mbowe na huyo mama yenu mbona umri wao sawa tu.
Ni janga kubwa sana ,imagine hawakuwahi kuwa na mgombea uraisi muislam aisee🙆♂️🙆♂️Ukristo na uchaga unaitafuna sana cdm
Mara ya ngapi ,rejea maandamano ya juzibkati hapaCHADEMA ni chama kinachojifia.
Mkuu, kwa hali ilivyo na uchaguzi ukiwa HURU; hata wewe ukiteuliwa na chadema, unapita mapema sanaKwa hiyo Rais atakuwa ni Mzee Mbowe?
Mkuu, huu utabiri wako ni wa kitambo sana; ni kama fisi anapo mfuata mtu kwa nyuma akijiaminisha kwa asilimia 100 kwamba ule mkono utadondoka na yeye kujipatia mlo wa siku.CHADEMA ni chama kinachojifia.
Chadema? Hivi hiki ni taasisi ya siasa kweli ?Mkuu, kwa hali ilivyo na uchaguzi ukiwa HURU; hata wewe ukiteuliwa na chadema, unapita mapema sana
Akikujibu nitag, hii ni punch ya pua hahaKama ambavyo vyombo vya ulinzi na usalama viache chama cha kijani kisimame chenyewe kama chama...
Mkuu, mtu sahihi wa kukujibu hoja yako ni Mh. Msajili wa Vyama.Chadema? Hivi hiki ni taasisi ya siasa kweli ?
Nimeandika uzi huu kwa nia ya kuisaidia CHADEMA kwa vipi kitaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani na hata kushika hatamu.Aliyekutuma kwenye hili ni nani?
Huyaoni ya chama tawala mmeona
chadema tu? Kuwa na kiasi kha!
Huwa mnalipwa kiasi gani mpaka mjitoe ufahamu?
Punguzeni kujipendekeza ni full udwazi
Nianze kwa kusema kuwa mimi si muumini wa "usichanganye dini na siasa". Mantiki ya uzi huu ndio ilikuwa hilo uliloliandika ndugu Nandagala one. Mstari wa mwisho nimeandika- nukuu "ChADEMA ijikague, vinginevyo itapata kundi moja tu na kamwe huwezi kushika nchi kwa kundi moja tu"Mashekhe , Maimamu, Baraza la Ulamaa, BAKWATA na SHURA YA MAIMAMU wafanye vivo hivyo kwa CCM na SAA 💯
Hapana si msajili bali ni wananchi. Ndugu zangu, Msajili anaweza akafumba macho lakini si wananchi. Waogopeni sana wananchi kama wenyewe msemavyo- Peoples........Power.Mkuu, mtu sahihi wa kukujibu hoja yako ni Mh. Msajili wa Vyama.
Peoples Power mbona wameshindwa kumpata mwenyekiti mmbada wa huyu mzee? Hivi kweli CDM ni chama cha kuongozwa na wazee mithili ya TLP au UDP?Hapana si msajili bali ni wananchi. Ndugu zangu, Msajili anaweza akafumba macho lakini si wananchi. Waogopeni sana wananchi kama wenyewe msemavyo- Peoples........Power.
Siungi mkono ugaidi wa aina yeyote ile, bali wananchi wana haki 100% kukinyooshea mkono chama chochote kile kinachobagua makundi fulani ya jamii...unakumbuka lile BOMU lililorushwa ktk mkutano wa Chadema Arusha ktk utawala wa Kikwete?
..juzi ktk kongamano la utekaji Afande Jumanne Muliro alisema lilikuwa ni shambulizi la MAGAIDI walioamini Chadema ni chama cha Wakristo.
..Hizi kampeni za UDINI dhidi ya vyama vya upinzani zina madhara mabaya kwa jamii yetu.
..CCM inaweza kushinda uchaguzi bila kufanya kampeni chafu na za kibaguzi kama hiki unachofanya.
Kama ni watu wa dini moja tu ndio wanakikubali, hapo kuna walakini. Tafakari mwenyewe, utapata jibu tu kwani ninakuamini sana katika chambuzi zako. Zingatia kuwa kwenye box unahitaji kura za wote ili ushinde Urais.Ukiona watu wa Dini wanakikubali chama cha siasa jua hicho ni chama cha Haki
Nimekusoma kiongoziNianze kwa kusema kuwa mimi si muumini wa "usichanganye dini na siasa". Mantiki ya uzi huu ndio ilikuwa hilo uliloliandika ndugu Nandagala one. Mstari wa mwisho nimeandika- nukuu "ChADEMA ijikague, vinginevyo itapata kundi moja tu na kamwe huwezi kushika nchi kwa kundi moja tu"
Tegemeo langu lilkuwa kuwaona CHADEMA wananyoosha mikono kwa dini nyingine ili kutafuta kuungwa mkono kama maaskofu na wachungaji wanavyokiunga mkono. Ukinielewa kwenye hili tunaweza kwenda vizuri pamoja. Nia ni kuisaidia CHADEMA, fahamu bila upinzani CCM inalala.
Hapana, nilitarajia reactions kama hizi ila sikutaka kumalizia uzi kwa maneno kama hayo au nasubiri wenye Povu.....Noa
Naona reactions za wanajukwaa zinaelezea ambayo hukutarajia. Ulitarajia wadau waiponde Chadema, sasa imekuwa tofauti. Pole sana.
Swadakta! Nakubaliana nawe, ila kama mwanasiasa usielemee upande mmoja. Jifunzeni kwa Gwajima alipokuwa anagombea ubunge, alirefusha mkono wake pande zote.Hiwezi kutenganisha siasa na dini kk, vyote vinatemeana