Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mko poa
Nisiwachoshe Ipo hivi juzi hapa jumuiya ilikuwa kwangu tulisali vizuri tu sasa baada ya kumaliza ambaye anachukua msalaba ni mtu wa iabu huyu dada tumuite Bupe.
Aliniomba nimpelekee msalaba jioni kwao ana kaa na wazazi wake kwao wako na mapesa nje yapo magar 5 kuna nissani duals 2, kuna forester, kuna noah, ili moja silijui jina.
Nilimuomba namba maana wao ukienda piga hodi pale hawafungui wana kuzoom tu kwenye camera wana gorofa, akanipa mm nikampotezea nikasema siendi kwao mimi wiki nzima napita kwao kimya .
Jumamos ikafika nikadamka mapema sana nikawahi pale kwao mimi ndio nilikuwa wa kwaza nikafika pale nika pleas oh namba kumbe sikusev akawa analalamika oh just help kutafakari neno pleas na kusoma neno mara ya pili, nikamtoa hofu usijali gafla akaja mdada mwingine akaaa mbele yeyu akasema nitasoma somo mara ya pili ikawa imeisha.
Nikiwa pale tunasali nikawa najifanya nipo bise tumemaliza kusali ndio anza niambia una jua baba kaondoka na mam wapo moshi nikawa na msikiliza mwisho nikamuomba andika namb hapa nitakupigia tuongee vzr bado na usingizi .
Siku iliisha sikumcheki nikaja kumcheki akajibu vyema tu ila maringo mengi sana mpaka moto unakata ukimpigia simu apokei anapokea kwakuchelewa kisingizio nadrive sasa nimeamua kumpotezea kabisa naona ananiletea ujinga ni mkaguzi masaki tupo jiran tu na napofanya mimi kazi ila mwanamke wa maringo mengi hapana
nimecheka sana mpka sielewi sikutegemea ili kabisaYani kubeba msalaba hatua 20 tu unalalamika hivo, ungekuwa Simon wa kirene si ungetuachia laana dunia yote
Ni swali Nimeuliza,hampendani?Ahahah kwahiyo wapi wanapendana?
Siwez jibu kwasasa 😂😂Ni swali Nimetulizwa,hampendani?
[emoji137][emoji137][emoji137]
Hahahaha 😂😂 mimi tena?Mwachiluwi unaringa sio yeye nautabakia single ukiwa hivi
Huyu hata barmaid hawamfai...huyu aishie kwa beki 3...anawaachia 3000 ya kusuka mnyoosho ..aka twende kilioñiAu aombwe hela ya saloon na mafuta na service ya gari ..Kwa mpigo...
Anakwambia Tu jumapili nahitaji kwenda saloon na gari pia lifanyiwe service kidogo...so dear please usiniangushe sitakuelewa..🤣 jamaa ata block namba na kurudi Kwa ma house girls na mabaa Medi taratibu 😅😅🤣🤣 isiwe kesi...
NdioHahahaha 😂😂 mimi tena?
Umekosea sana 😂Ndio
Au jirani nshomile maana huo muandiko eti 'uho' mwe!Dogo sali tu jumuiya urudi kwenu. Wewe ni muha au msukuma?
Hahahah bora kama kaonaNgoja aje aione nimemuona mahali anaongelea mada hii hapa sema ni shemej yangu pole 😀
Aisee, unapenda ubabe,haujui kubembeleza[emoji2][emoji2][emoji2]N
dio mimi uyo
Ndio soon anakujibuHahahah bora kama kaona