Wadada siku hizi wanatongoza, hawana aibu tena

Wadada siku hizi wanatongoza, hawana aibu tena

Kuna wanaume ni madomo zege....njia hii nakuwa nimemsaidia pia
Pili kupata unachokitaka...unapomwitaji mtu na kumweleza ukweli means huyo ndo moyo umeridhia
Tatu,nasi tuna moyo,tunapenda ivo ni haki yetu kupata tunachostahili

NB:Bidada,ukimpenda mtu usivunge eti kuogopa jamii itakuchukuliaje....ukitongoza au ukitongozwa ukakubali na ukatoa papuchi...bado threads zitakuja kuuliza "hivi kwanini wasichana wa sikuhizi ni rahisi mno?" Wanaume wengi hawajui wanachokitaka sikuzote
mi huwa namshangaa anayekjataa kutoa maana huwa anaichelewesha mahakama tu....kwa hio hao wapumbavu wanaotaka kuzungushwa....acha waseme
 
Pole pita na hizo zinazojileta maana mungu anakupa unachostahili sio unachotaka
Unamtajaje Mungu kwenye mambo kama hayo, mimi siwezi tembea na kila anayekatiza mbele yangu, huko ni kujidhalilisha, mwanaume lazima ujipe thamani, siyo hadi wenye sura za baba zao unapita, ambao ukiwatazama hujui wapi juu wapi chini nao upite. Huo ni uhuni.
 
Lakin hata kupita na wenye sura nzuri nao ni uhun au hilo unaliongeleaje uhuni ni uhuni bro
 
Hivi unajua maana ya mtu Mapepe?

Mtu unaweza kuwa serious na bado ukawa mcheshi.. ndio hapo baadae akikuzoea sana atakuweka wazi utofauti aliojionea.

Ukikutana na mimi kwa mara ya kwanza utasema hili jamaa halicheki na kima, ila kaa mezani tuongee ndio utagundua ulikuw unajidanganya.

Mtu Mapepe ni yule mwenye makuzi, utoto, sifa, mbwembwe nyingi mbele za watu.. mtu wa hivi hatongozwi na Mwanamke never
Uko sahihi,
 
Me ilishanitokea kuna mdada alikuwa anakuja ofcn akifka ni anafanya kaz iliyomleta then anaondoka ila me sikuwah kumuhudumia alikuwa anahudumiwa na wengne na sikuwah hata kuongea nae xa siku moja bhn nipo tu sina habar naona msg namba ngen inaingia "wewe mbn huongeagi" nkajiuliza kumbe kuna watu wananifatlia kuhus kuongea bas tukachat kama nusu saa akanielezea kuwa ni yeye bas bhn akafunguka yakaendelea ya kuendelea tulipga friendly match had now ni marafk
Hao sasa ndio masuperwoman....they go after wat they want
 
Unamtajaje Mungu kwenye mambo kama hayo, mimi siwezi tembea na kila anayekatiza mbele yangu, huko ni kujidhalilisha, mwanaume lazima ujipe thamani, siyo hadi wenye sura za baba zao unapita, ambao ukiwatazama hujui wapi juu wapi chini nao upite. Huo ni uhuni.
Sasa wenye sura pesono watagegedwa na nani? Nao wanahitaji kupendwa na kuonja de liboloz
 
Kuna siku nilitembelea chuo fulani, kwa ajili ya shughuli tu za kikazi.

Ile nikiwa kwenye foleni katika kusubiri huduma, nikakutana na jamaa zangu wawili ambao tulikuwa tunafahamiana huko mtaani; tukawa tunaongea na kubadilishana mawazo ya hapa na pale.

Mara akaja mkufunzi mmoja wa kike, akatupa hai, tukawa tunaongea huku tunacheka. Mara yule mkufunzi akaniuliza, ''huna mdogo wako aje anioe, nimechoka kuwa mwenyewe''. Nilishtuka ghafla kutokana na huo ujasiri aliokuwa nao, mpaka kunitamkia hayo maneno bila kupepesa macho.

Nikamuuliza, uko siriazi? Akanijibu, ndio; nami nikamjibu, ''kwa bahati mbaya wote walishaoa, na wakike walishaolewa''.

Ila katika kutafakari, nikahisi ujumbe ulikuwa unanilenga mimi, kwa sababu huwa nikitembea huwa sivai pete ya ndoa.

Ikabidi nimjibu kwa kifupi, nitakutafutia.

Swali langu; kwa nini nyakati hizi wadada wamekuwa wepesi kuwafungukia wanaume?
Hahaha yeah
 
Back
Top Bottom