Wadada siku hizi wanatongoza, hawana aibu tena

Wadada siku hizi wanatongoza, hawana aibu tena

Kwasababu nowadays vichwa vyao vimefunguka na sio swala la ajabu kutongozwa na mwanamke, kama ni mara yako ya Kwanza basi jua ni kawaida.

They have feelings and now they are wise enough to understand the importance of speaking up, because some guys don't understand signs plus they are not brave enough to talk to some beautiful ladies which is also normal malezi yanatofautiana.

So those beautiful and brave women they don't feel uncomfortable anymore to tell their feelings because they know they might miss the opportunity to be with the guy they want.
Binafsi ni wengi mno na wala sioni ajabu na still nawaheshimu sababu naelewa situation na ulimwengu tulipo kwasasa.

PERIOD
NB: CHANGE YOUR MINDSET is normal.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Kuna siku nilitembelea chuo fulani, kwa ajili ya shughuli tu za kikazi.

Ile nikiwa kwenye foleni katika kusubiri huduma, nikakutana na jamaa zangu wawili ambao tulikuwa tunafahamiana huko mtaani; tukawa tunaongea na kubadilishana mawazo ya hapa na pale.


Swali langu; kwa nini nyakati hizi wadada wamekuwa wepesi kuwafungukia wanaume?
Hujachukua namba🤔🤔🤔
 
Mkuu una bahati sana.
Mimi ni mdogo wako lkn ukiachana na huyo uliyekutana naye kwa njia aliyotumia alijitahidi sana kuvumilia.

Mimi nilishachanwa waziwazi mara nne na wanawake,wasichana lkn sikushangaa kwani na wao ni binadamu wana hisia.

Wawili walifanikiwa na mmoja kati ya hawa wawili nilimuoa ijapo miaka 8 baadae tuliachana.

Wawili hawakufanikisha kabisa ila ktk hali ambayo haikuwa na athari kubwa sana kwani niliwachukulia positively na mmoja kati ya hawa ni rafiki yangu wa karibu mpaka leo.
Haya mnafiki wa kujitegemea
 
Tuwajenge watoto wetu wakike kuwa ndoa ni kitu cha kawaida tu , sio lazima sna kuwa na ndoa , wajifunze namna ya kupambania ndoto zao na sio ndoto za mwingne , huu ujinga na ulimbukeni wa kushobokea ndoa umewaponza dada zetu , mwisho wa sku wamekuwa wakatili mno ,na kukata tamaa ya maisha kabsa kisa ndoa , nikiwa hai kamwe binti yangu, hatakua na akili za kuamuliwa na jamii ya huu ulimwengu wetu wa tatu .
 
Weeeeeeeee hiyo bahati mbona mimi sijawahi kukumbana nayo 🤔🤔 nyie mnajifukiza nini wazee🤔🤔, lakini na wao wanahisia tena kali kushinda sisi lakini hua wana ponzwa na aibu 🚶🚶🚶🚶
 
Back
Top Bottom