Wadada siku hizi wanatongoza, hawana aibu tena

Hamuwaoi ndyo maana wanaona wajiongeze japo approach yetu mnaichukulia tofauti sana
Wengi sisi wanaume tuna wake zetu tulioanza nao chini tukiwa hatuna kitu; leo hii ninapokuja kuonekana kwenye macho yako, tayari kuna mtu huko nyuma alishanijenga, kwa hiyo inatokea tayari nina mke; kwa hiyo kukubalia ombi la ndoa inakuwa ngumu.
Ni vizuri kama wangekuwa wanaonyesha hisia zao kwa wale ambao bado wanajipanga kimaisha, ingekuwa vizuri sana.
 
Ila sijaona alipokutongoza ujue au sijasoma vizuri

Halafu dhana ya tumetoka mbali haina mashiko siku hz kaka
Unaweza kutana na mtu mwezi huu miezi mitatu mbele anakuwa life partner na mnafika mbali
 
Ukiona mtu anakuambia kitu huku ameng'ata mdomo anakuwa anamaanisha.
Pia nyakati hizi kujua mwenye dhamira ya dhati inakuwa ni ngumu, wengi sana wako kifursa
 
Sion shida hapa nakumbuka chuon wadada wawili washanifwataga sana nikawatolea nje walikuw wachafu hawajui kuvaa walipo jua kuvaa na usafi nikawafwata mmoja alinikataaa kabisa mwingine alinipa mara moja tu na hakurudia tena mpka leo
 
Madogo wa siku hizi ukimwita dear tu anajua kashatongozwa. Sasa mdada wa watu anafanya utani njemba inadhani imetongozwa. Ukute mdada wa watu ni mke wa mtu siku nyingi tu...
Yaani naona jamaa kachukulia serious hadi kafungua uzi.....halafu kwani kutongoza ni dhambi??? Kumbuka kwenye biblia Luth alijipeleka kwa Boaz and the rest was history
 
Sijaona mtongozo hapo. Makazini kuitana bebi, sijui mume au mchumba mbona mambo ya kawaida sana tu....
 
Back
Top Bottom