Wadada siku hizi wanatongoza, hawana aibu tena

Wadada siku hizi wanatongoza, hawana aibu tena

Mimi wanawake walio nifungukia wote ,walikuwa wa hovyo, mmoja mke wa mtu ni ana bonge la shape, ila anakula bange.Wapili anagrocery yake ila nae ni chama la wana.Ila huyu wa grocery nahisi alikiwa anataka kunitegeshea mimba,kwani baada kama ya miezi miwili nikasikia ana mimba,akaja kujifungua baba wa mtoto hajulikani.
Ipo siku kifaa kitajileta na utashindwa kuchomoa
 
Nikamuuliza, uko siriazi? Akanijibu, ndio; nami nikamjibu, ''kwa bahati mbaya wote walishaoa, na wakike walishaolewa''.

Ila hapo na wewe naona hata Dada ungemuoza huyo binti kwa maneno yako mwenyewe

Kuhusu kutongozwa na wanawake lipo sana kwani wengi huwa tunapata mademu kwa hisia zao
Yaani hapa nimekaa kuna wawili kwa nyakati tofauti wanaonekana wako interesting Nami ila sio kwa kusema bali macho tu unajua
Kwa hali ya sasa wanafunguka kabisa, wengine wanakwambia usiponishughulikia wewe, unataka nani anishughulikie?​
 
Kuna siku nilitembelea chuo fulani, kwa ajili ya shughuli tu za kikazi.

Ile nikiwa kwenye foleni katika kusubiri huduma, nikakutana na jamaa zangu wawili ambao tulikuwa tunafahamiana huko mtaani; tukawa tunaongea na kubadilishana mawazo ya hapa na pale.

Mara akaja mkufunzi mmoja wa kike, akatupa hai, tukawa tunaongea huku tunacheka. Mara yule mkufunzi akaniuliza, ''huna mdogo wako aje anioe, nimechoka kuwa mwenyewe''. Nilishtuka ghafla kutokana na huo ujasiri aliokuwa nao, mpaka kunitamkia hayo maneno bila kupepesa macho.

Nikamuuliza, uko siriazi? Akanijibu, ndio; nami nikamjibu, ''kwa bahati mbaya wote walishaoa, na wakike walishaolewa''.

Ila katika kutafakari, nikahisi ujumbe ulikuwa unanilenga mimi, kwa sababu huwa nikitembea huwa sivai pete ya ndoa.

Ikabidi nimjibu kwa kifupi, nitakutafutia.

Swali langu; kwa nini nyakati hizi wadada wamekuwa wepesi kuwafungukia wanaume?
Wewe fala, huo ni utani wa kawaida sana mjini
 
Kwa hali ya sasa wanafunguka kabisa, wengine wanakwambia usiponishughulikia wewe, unataka nani anishughulikie?​
Kweli kabisa
Wanatia huruma sana
Nataka niongeze wa Tatu kwani wapo wengi sana na wanazeeka haraka inabidi tubebane tu hakuna jinsi

Ila wengi wao wavivu sana hawataki kufanya kazi wao wanataka kulishwa tu

Waache tuwafariji kiaina kama hawataki uhalisia
Wengine kuomba imekuwa kazi rasmi
 
Mie juz kati nilikuwa beach flan hivi.. ghafla kikaja kimemo mezani.. nikakisoma nikakausha, wale wadada walikuwa kwa juu yaan kama kuna kighorofa hivi cha mbao.

Nikawa nakula gambe mwenyewe mdg mdg ghafla akaja tena mwingine apart from wale huyu yeye alikuja kama mwakilishi kaja tyr kaandika 0 kwenye dial pad. Nikamalizia digits zilizofata hapo hapo ikaja text.. the rest is history.

Hawa Wanahisia pia, ila nilichojifunza kwa kila namna jitahidi kujiweka serious. Watu serious ndio wanakumbana na changamoto za mitongozo compared to wale wenye mapepe.
 
Mie juz kati nilikuwa beach flan hivi.. ghafla kikaja kimemo mezani.. nikakisoma nikakausha, wale wadada walikuwa kwa juu yaan kama kuna kighorofa hivi cha mbao.

Nikawa nakula gambe mwenyewe mdg mdg ghafla akaja tena mwingine apart from wale huyu yeye alikuja kama mwakilishi kaja tyr kaandika 0 kwenye dial pad. Nikamalia digits zilizofata hapo hapo ikaja text.. the rest is history.

Hawa Wanahisia pia, ila nilichojifunza kwa kila namna jitahidi kujiweka serious. Watu serious ndio wanakumbana na changamoto za mitongozo compared to wale wenye mapepe.
Mapepe/wacheshi wanatafuna warembo sana usidanganyike.
Wanawake wengi hawapendi casual relationship na mwanaume mikausho/gubu.

Bali wanawake wanataka mume kauzu pia.

Unisome vizuri usichanganye habari mbili tofauti nilizoziongelea
 
Hivi unajua maana ya mtu Mapepe?

Mtu unaweza kuwa serious na bado ukawa mcheshi.. ndio hapo baadae akikuzoea sana atakuweka wazi utofauti aliojionea.

Ukikutana na mimi kwa mara ya kwanza utasema hili jamaa halicheki na kima, ila kaa mezani tuongee ndio utagundua ulikuw unajidanganya.

Mtu Mapepe ni yule mwenye makuzi, utoto, sifa, mbwembwe nyingi mbele za watu.. mtu wa hivi hatongozwi na Mwanamke never
 
kwa mfumo huu wa haki sawa wanaume tutakua tunawaona wanawake wakawaida tu yan wao watakua wahangaika kututafuta pia uwepo wa mambo ya mashoga ndo kabsa
Kwa ujumla inaonekana wanaume halisia ni wachache sana, ndio maana wanawake wengi nyakati hizi hawaolewi
 
Back
Top Bottom