Wadada siku hizi wanatongoza, hawana aibu tena

Kuna siku nilitembelea chuo fulani, kwa ajili ya shughuli tu za kikazi.

Ile nikiwa kwenye foleni katika kusubiri huduma, nikakutana na jamaa zangu wawili ambao tulikuwa tunafahamiana huko mtaani; tukawa tunaongea na kubadilishana mawazo ya hapa na pale.

Mara akaja mkufunzi mmoja wa kike, akatupa hai, tukawa tunaongea huku tunacheka. Mara yule mkufunzi akaniuliza, ''huna mdogo wako aje anioe, nimechoka kuwa mwenyewe''. Nilishtuka ghafla kutokana na huo ujasiri aliokuwa nao, mpaka kunitamkia hayo maneno bila kupepesa macho.

Nikamuuliza, uko siriazi? Akanijibu, ndio; nami nikamjibu, ''kwa bahati mbaya wote walishaoa, na wakike walishaolewa''.

Ila katika kutafakari, nikahisi ujumbe ulikuwa unanilenga mimi, kwa sababu huwa nikitembea huwa sivai pete ya ndoa.

Ikabidi nimjibu kwa kifupi, nitakutafutia.

Swali langu; kwa nini nyakati hizi wadada wamekuwa wepesi kuwafungukia wanaume?
Mkuu,
Ili uwe na furaha pambania ndoto zako sishamgai hao wadada kuto
ngoza WANAUME
.
 
Kuhusu kuvaa Pete Mimi ni Must kutovaa Pete mke wangu huchukulia sawa na KOSA LA UHAINI🤓🤓🤓
 
Kuna wanaume ni madomo zege....njia hii nakuwa nimemsaidia pia
Pili kupata unachokitaka...unapomwitaji mtu na kumweleza ukweli means huyo ndo moyo umeridhia
Tatu,nasi tuna moyo,tunapenda ivo ni haki yetu kupata tunachostahili

NB:Bidada,ukimpenda mtu usivunge eti kuogopa jamii itakuchukuliaje....ukitongoza au ukitongoza ukakubali na ukatoa papuchi...bado threads zitakuja kuuliza "hivi kwanini wasichana wa sikuhizi ni rahisi mno?" Wanaume wengi hawajui wanachokitaka sikuzote
Siku hizi umekuwa kauzu.
 
😁😁😁😁Wabongo tupo vzr ktk kukadiria alafu vipimo vyetu vinakua havipo specific utaskia asilimia kubwa, wanawake wengi, wengi wao, kwa sehem kubwa n.k

Na tunapojaribu kufodge data ndo tunaharibu kabisa
Daaaah nimecheka sana aisee 🤓🤓🤓🤓🤓....

Yaani mkuu unafatilia mnoo
 
Isa 4:1 SUV
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu. [Hili andiko lazima litimie, asomaye na Afahamu.]
 
Nadhani ule utabiri wa kwenye biblia Isaiah 4:1 umeanza kutimia mdogo mdogo.

Nami acha nisubiri zamu yangu ya kutongozwa na mwanamke.

Nimekaa pale 👉
 
Mimi wanawake walio nifungukia wote ,walikuwa wa hovyo, mmoja mke wa mtu ni ana bonge la shape, ila anakula bange.Wapili anagrocery yake ila nae ni chama la wana.Ila huyu wa grocery nahisi alikiwa anataka kunitegeshea mimba,kwani baada kama ya miezi miwili nikasikia ana mimba,akaja kujifungua baba wa mtoto hajulikani.
 
Kuna siku nilitembelea chuo fulani, kwa ajili ya shughuli tu za kikazi.

Ile nikiwa kwenye foleni katika kusubiri huduma, nikakutana na jamaa zangu wawili ambao tulikuwa tunafahamiana huko mtaani; tukawa tunaongea na kubadilishana mawazo ya hapa na pale.

Mara akaja mkufunzi mmoja wa kike, akatupa hai, tukawa tunaongea huku tunacheka. Mara yule mkufunzi akaniuliza, ''huna mdogo wako aje anioe, nimechoka kuwa mwenyewe''. Nilishtuka ghafla kutokana na huo ujasiri aliokuwa nao, mpaka kunitamkia hayo maneno bila kupepesa macho.

Nikamuuliza, uko siriazi? Akanijibu, ndio; nami nikamjibu, ''kwa bahati mbaya wote walishaoa, na wakike walishaolewa''.

Ila katika kutafakari, nikahisi ujumbe ulikuwa unanilenga mimi, kwa sababu huwa nikitembea huwa sivai pete ya ndoa.

Ikabidi nimjibu kwa kifupi, nitakutafutia.

Swali langu; kwa nini nyakati hizi wadada wamekuwa wepesi kuwafungukia wanaume?
Wanaume tupo wachache sana.

Kwa hiyo mkuu, hili ndo umetuletea uzi siriazly?

Baada ya miaka 3 njoo uusome uzi wako tena
 
Nikamuuliza, uko siriazi? Akanijibu, ndio; nami nikamjibu, ''kwa bahati mbaya wote walishaoa, na wakike walishaolewa''.

Ila hapo na wewe naona hata Dada ungemuoza huyo binti kwa maneno yako mwenyewe

Kuhusu kutongozwa na wanawake lipo sana kwani wengi huwa tunapata mademu kwa hisia zao
Yaani hapa nimekaa kuna wawili kwa nyakati tofauti wanaonekana wako interesting Nami ila sio kwa kusema bali macho tu unajua
 
Back
Top Bottom