Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
nakubaliana na wewe....
tukichuniwa tunalalamika, tukifuatwa tunalalamika
na sisi hatueleweki
Muanze kueleweka sasa
Kila mtu ana haki ya kupenda na akiweza kumwambia anayempenda msimchukulie vibaya