Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
vaa pete ya ndoa acha uhuni
Hili ndilo la msingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vaa pete ya ndoa acha uhuni
Miaka ijayo mbali watu tushapitia huko tayari.Waoaji hawapo wee subiri tuu ndani ya miaka kumi ijayo mbona tutakuwa tunazikataa mbususu wenyewe
sogea tukaeKwenye taasisi hzo za elimu pisi ziko very cheap sana ni ww tu uamue! Ukikutana nae mpange tu kawaida mnapiga life la sogea tukae
Vyuoni ndo maisha wanayoishi vijana wetusogea tukae
[emoji38][emoji23][emoji38][emoji23] Umenikumbusha kwenye matanga
Lakini wanawake walio wengi, wanatongoza kwa ishara.Nikamuuliza, uko siriazi? Akanijibu, ndio; nami nikamjibu, ''kwa bahati mbaya wote walishaoa, na wakike walishaolewa''.
Ila hapo na wewe naona hata Dada ungemuoza huyo binti kwa maneno yako mwenyewe
Kuhusu kutongozwa na wanawake lipo sana kwani wengi huwa tunapata mademu kwa hisia zao
Yaani hapa nimekaa kuna wawili kwa nyakati tofauti wanaonekana wako interesting Nami ila sio kwa kusema bali macho tu unajua
Kwahiyo ulitongozwa na wawili at the same time?nilikuwa shambani kama msimamizi mimi ni young kiumri compared to wao walokuja kama vibarua, nilishangaa kwa ushujaa walionao wananitongoza macho makavu kabisa wananikazia, kwa sababu wako wawili na wanajua~mbinu za kivita zikaanza, mara nikufulie nguo mara vinini sijui. mm si handsome wala sina fedha na shambani tulikuwa wasimamizi wanne, nilishangaa!! kwa kweli hatua tunayoiendea ni nzuri, hatutohangaisha kabisa vichwa kuwaza unapataje mbususu!
Ndio hivyo kwani hata mavazi tu wengine ndio mtongozoLakini wanawake walio wengi, wanatongoza kwa ishara.
[emoji847][emoji23][emoji23]Mimi wanawake walio nifungukia wote ,walikuwa wa hovyo, mmoja mke wa mtu ni ana bonge la shape, ila anakula bange.Wapili anagrocery yake ila nae ni chama la wana.Ila huyu wa grocery nahisi alikiwa anataka kunitegeshea mimba,kwani baada kama ya miezi miwili nikasikia ana mimba,akaja kujifungua baba wa mtoto hajulikani.
Aisee ..kumbe wezangu tayari mnaanza kuzikimbia mbususu....wapi huko mnitomye basi na mie nianze kuzikataaMiaka ijayo mbali watu tushapitia huko tayari.
kwa nyakati tofauti tofauti, mimi ni mtu mwenye aibu sana for sure baada ya kufanyiwa hivyo the environment was not good for me anymoreKwahiyo ulitongozwa na wawili at the same time?
Bado hujanijibu, ulitongozwa na wanawake wawili at the same exact time? Wakiwa wote wanaonana?kwa nyakati tofauti tofauti, mimi ni mtu mwenye aibu sana for sure baada ya kufanyiwa hivyo the environment was not good for me anymore
wewe vipi!! mtu akisema kwa nyakati tofauti huelewi?Bado hujanijibu, ulitongozwa na wanawake wawili at the same exact time? Wakiwa wote wanaonana?
Hapo sawa, nilikuwa sijaona.wewe vipi!! mtu akisema kwa nyakati tofauti huelewi?
Pole pita na hizo zinazojileta maana mungu anakupa unachostahili sio unachotakaYaani mimi nimetongozwa mara kibao, sikumbuki idadi, napewa hadi hela, lakini nimeeakataa wote kwasababu wanaonitongoza hawanivutii, zinakuwaga ni pisi za kawaida tu afu mimi nataka pisi kali.
Ninazoziwinda mimi ndo zinanipiga chenga, yaani haya maisha ni upumbavu mtupu.