Wadada siku hizi wanatongoza, hawana aibu tena

mi huwa namshangaa anayekjataa kutoa maana huwa anaichelewesha mahakama tu....kwa hio hao wapumbavu wanaotaka kuzungushwa....acha waseme
 
Pole pita na hizo zinazojileta maana mungu anakupa unachostahili sio unachotaka
Unamtajaje Mungu kwenye mambo kama hayo, mimi siwezi tembea na kila anayekatiza mbele yangu, huko ni kujidhalilisha, mwanaume lazima ujipe thamani, siyo hadi wenye sura za baba zao unapita, ambao ukiwatazama hujui wapi juu wapi chini nao upite. Huo ni uhuni.
 
Lakin hata kupita na wenye sura nzuri nao ni uhun au hilo unaliongeleaje uhuni ni uhuni bro
 
Uko sahihi,
 
Hao sasa ndio masuperwoman....they go after wat they want
 
Sasa wenye sura pesono watagegedwa na nani? Nao wanahitaji kupendwa na kuonja de liboloz
 
Hahaha yeah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…