Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

nilishawahi kuwa na pisi ya aina hiyo lakini cha ajabu haikurudi kijijini bado iko mjini inakomaa tafajsiri yake kuna madanga mengine yalikuwa nyuma yangu
Yaani wote mtaombwa pesa ya kuongeza kodi so kila mmoja atachangia kwa uwezo wake akiunganisha hapo anakuwa si na chini ya million na mbelee
 
Maskini..🥺🥺🥺keshapoteza muelekeo jamani.

Huwezi kumkomboa huko alipo ndugu yangu?🥺🥺🥺
Nilimuonea huruma sana, sina namba yake. Nadhani hata nikiipata, inatakiwa kwanza apelekwe rehabilitation house.

Maana kwa ulevi ule anaweza kufanya nini?
 
Hahahaj, bora ulimuacha, huyo ashakuwa shamba la bibi
 
Jamani nilikua sijauona uzi..mi nipo Idodomya...mbona kashfa kubwa hii hebu mtajeni na sio kuharibu taswira ya watu wa Dodoma wenye mapene yetu 😆 😆 😆
 
Yaani umeongea ukweli mtupu, natamani wadada wengi watasoma huu ujumbe wabadilike khaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…