Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Nakazia!
Watu wanafiki sana.
 
dear, dear, dear nimekuita mara 3!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Em achaaa hizo.
 
Chakorii kwenye hizo wine bars kubwakubwa huwa mnajilipia bills au mnalipiwa?
Kitu ambacho siwezi kusahau ni pesa au card ya bank.

Kama nimeamua kutumia natumia kiwango chochote nilichoamua,kama umenialika wewe kwakweli utalipia kila kitu nitamtip waiter,kama nimekualika mimi nitalipia

Sitokuomba pesa lakini nikiona hujiongezi hakika hutonifaa
 
Hii ndio kanuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…