Wadada wengi sasa wamekuja na huu ujanja mpya, wanaume tuwe makini

Inwi fwakity hahuna hee’LA!!!
 
Kitini ni nini?
 
Kuna watu wajinga eti wanasema "MONEY CAN BUY LOVE BUT IT CAN NOT GIVE YOU HAPPINESS" badala yakusema "MONEY CAN GIVE YOU HAPPINESS BUT MONEY CAN'T BUY LOVE" mimi mademu zaidi ya thelathini nishawakataa siongi demu kwasababu nishawahi kuonga nikaonekana boya in ALBERT MANGWAIR VOICE ; WE UNAHONGA WENZANKO WANAPIGA KISELA;
 
Umeshapiga nini mzee? Kama vipi omba mzigo apo uwe unapoza rim
 
Kwani baada ya huo mtoko, huwa mnaenda wapi?

Usiniambie unamuacha arudi kwao.
 
Kwenye situation kama hii, wewe upo Sahihi kumsaidia huyu mdada, situation ninayoongelea mimi ni tofauti kabisa Excel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…