Wadada wenye maumbo mazuri kwa asilimia kubwa wakikutana na mwanaume huhisi kutongozwa tu

Hahahahahahah eeh unaweza ukajikuta umempatia jackpot mwenzio 😅!!!
Madem wenye chura takeaway wanakuwaga na mapozi sana!

Umkute dem ana karangi kajaliwa nywele na kasura kazuri aisee utamtaka😅
 
Mnakosea mnapoondoka hamuwaambii
Unapoamua kuondoka kimya kimya mwenzio anaona amewin. Mwambie akomae kiakili kua sio

Yule mdada sidhani aliona kama ame-win, coz vibe nlioenda nayo pale sio ya kingono, sikuwa natarajia chochote toka kwake zaidi ya story.

Yule mdada kesho yake Tena nlienda maeneo yale, nliona anajipitisha pitisha mbele yangu huku ananiangalia Sana kwa mbali, ila ckua na time nae, nahisi alinishangaa na hakuamini, nahic alijiuliza mm ni mwanaume wa aina gani, ambaye naweza kuyaacha makalio yake hivi hivi, nadhani alitegemea cjui ntambembeleza sana na kumwomba namba..plus mialiko ya ghetto na mtoko, kumbe mm walaa

Story nilizopiga na yule mdada ni story ambayo ningepiga hata na mwanaume mwenzangu Brian Spilner Mama pretty
 
Hahahhah unawamwagia “Manara” tu! Misimbazi mingi no shobo anajiweka sawa mwenyewe tu[emoji28]
Tunasema mlete mlete, akiona amefika ndio anavuta kiti atulie...hahaha unavaa miwani ya mbao...huyooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi namheshimu sana binti mnyenyekevu huyo ukimuumiza laana inaweza kuku..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…