Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Sisi wengine tuna matumbo na maumbo namba 9
Haka kasentensi kalifaa kusindkiziwa na kapicha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wengine tuna matumbo na maumbo namba 9
Nabuchumbile, onyegeleOchumbe obuji onywe,,
Kaisiky ngambilaOchumbe obuji onywe,,
Ndaija kulya ekya nyemishana,,unchumbile akatoke ne ntongo[emoji1]Nabuchumbile, onyegele
Nkugambile kiiiKaisiky ngambila
Hili suala ni personal mkuu, utamu wa mwanamke hutegemea zaidi maumbile yake na sio uzuri/ubaya wake.Ukweli ni upo?
Hahahahahahah eeh unaweza ukajikuta umempatia jackpot mwenzio 😅!!!Na mlivyo na maajabu Sasa, mwanaume alie serious huwa anaejiona na uzuri wake mnamruka mnamfata asie na nyodo,,
Kuna story moja ipo mitandaoni inasema mkaka mmoja alimpenda kirafiki mwanamke fulani, katika kuwasiliana na mitoko ya hapa na pale, yule mwanamke akawa anaenda na rafikize(micharuko) ila mmojawapo alikuwa tofauti, kuanzia aina ya uongeaji nk mwishowe yule mkaka akampenda na kutaka kumuoa huyo aliyekuwa mstaarabu na kumtosa wa mwanzoni, itafute hiyo story inaendana Sana na hawa walemavu wa akili
Nlijua tu atajitokeza 'kiazi' mmoja kutaka picha😂😂Haka kasentensi kalifaa kusindkiziwa na kapicha
Daymn son! Kanajikuta ka miss world flani hivi full pozzzi 😅Unakutana dada yuko reception analipwa 450k anaringa [emoji28][emoji28][emoji28]. Kisa yuko bank fucken[emoji28]
Unapishana na magari ya mshahara kwa kuendekeza nyodoHahahahahahah eeh unaweza ukajikuta umempatia jackpot mwenzio 😅!!!
Madem wenye chura takeaway wanakuwaga na mapozi sana!
Umkute dem ana karangi kajaliwa nywele na kasura kazuri aisee utamtaka😅
Ahahaha mbona umechanganya na kichagga?Nkugambile kiii
Nkugambile kiii
Hahahaa.Nlijua tu atajitokeza 'kiazi' mmoja kutaka picha[emoji23][emoji23]
Usumbufu mwingiiiUngempa mshika, afu usimtongoze...unajua nini kingefuata?
Akikolea unapita hiviii unamwachia nyodo zakee[emoji28]Usumbufu mwingiii
Hahahahahah wanangu wanasemaga anasa nyingiiiAkikolea unapita hiviii unamwachia nyodo zakee[emoji28]
Mabinti wanaojisikia saana huwa dawa yao rahisi sanaHahahahahah wanangu wanasemaga anasa nyingiii
Mnakosea mnapoondoka hamuwaambii
Unapoamua kuondoka kimya kimya mwenzio anaona amewin. Mwambie akomae kiakili kua sio
Hahahhah unawamwagia “Manara” tu! Misimbazi mingi no shobo anajiweka sawa mwenyewe tu😅Mabinti wanaojisikia saana huwa dawa yao rahisi sana
Tunasema mlete mlete, akiona amefika ndio anavuta kiti atulie...hahaha unavaa miwani ya mbao...huyooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahhah unawamwagia “Manara” tu! Misimbazi mingi no shobo anajiweka sawa mwenyewe tu[emoji28]